Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Ila mkuu mlion tatu ni pesa ndogo kula mbususu mwaka mzima yani kwa sku unalipa sh 8300 tu .
 
Mie sio bahiri kuhonga ila hesabu hapa zinakataa. Utatoa mil. 3 na bado utalipia gesti, utalipia bia na utalipia kitimoto. Bado wakati wa kuja utalipia bodaboda.

Kumbuka ukitoa hiyo M3 sio kwamba huduma zote atalipia yeye. Na kwenye kudinyana hizo huduma zinagharimu sana. Hapo labda kuhonga ndio unaweza ukasamehewa
 
Abhakema bha haha bhodogo gete,ndoho amasala,ila echene manonu lekaga gete....bora kununua tu wale wanaouza kuliko hawa wa ukimtongoza hapo hapo nywele zinafumuka,kodi inaisha,mama anaugua,gesi inaisha n.k...bhagoshaaaa
 
Muulize kama je atakupa na kinyeo ni kwenye mkojo ili tushauriane
 
Kabisa yaan siku hizi ukiwa na Gari tu, unaweza usitoe hata Mia

Unambeba, unampeleka Mahali anakula Ndizi, Kitimoto na Bia .

Unaenda maliza.

Ila ukiwa Hauna ndinga, aisee wanakuzungusha sana ili hali wewe ndio unaweza kumuachia Pesa ya kujikimu.
Mkuu ukiwa na gari wanawake wanaogopa kukuomba pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…