Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa Kupata Laki Tatu Kwaajili ya Matibabu.
Ajabu Ikitokea Kadari ya Allah Imekufikia Ukafa Kwa Sababu ya Hayo Maradhi Katika Maandalizi ya Msiba Wako Watajitokeza na Kuchanga Nyingi Kwaajili ya Maandalizi ya Mazishi Yako.