Yeah. ni tabia iliyozoeleka japokuwa sio tabia nzuri. Iko hv: Kwenye matibabu michango huingia na hupokelewa kule ambako haiwezi kurudi e.g. Hospitali n.k., lakini kwenye msiba michango inatumika kwa waliochanga au waombolezaji MC, Vyakula n.k. na shughuli ikikamilika imekamilika jumla.Matibabu ni mchakato (process). Mtu anaweza akaomba laki tatu leo, na bado mwezi ujao akahitaji nyingine, jambo linalofanya wachangiaji waone kama ni gharama isiyo na mwisho. Lakini kifo ni tukio la mwisho (terminal event). Watu wanajua "tukiweka nguvu hapa kwa siku tatu, mchezo umeisha na kila mtu anarudi kwake." Hii ni tabia ya kibinafsi sana ambapo watu wanapenda kuchangia kitu chenye mwisho wa haraka.
Umewaza nini mkuuLaki 3 utakula mwenyewe ila milioni 3 tunakula wote inaratibiwa na kamati maalumu!!😂
GGLaki 3 utakula mwenyewe ila milioni 3 tunakula wote inaratibiwa na kamati maalumu!!😂
Du! Hatari Samia atosha tukutane2030Ndugu hawakupendi.
Wanataka wakufukie haraka wamalizane na wewe.
Hili ndilo jibu.
Wakikuchangia ya matibabu huenda usife kama wanavyotamani mioyoni mwao.