- Thread starter
- #21
This is Captain Silaa speaking....Marubani tumepaishwa mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is Captain Silaa speaking....Marubani tumepaishwa mno.
Tibaijuka anajiandaa kugombea Kawe. Hapa anatafuta political mileage!Hela ilkua ya moto iyo tena bibi tibaijuka kasimamia shoo utazani ana endaga kuchezea apa sheli
Utawalamba sana au siyo ahahahahMilioni 300 nikizipata hata mtaan watajua
Watakuwa washakula na kushiba lknHawa kina Silaha, wamemmulika mama na tochi za kienyeji ili awaone kwenye teuzi zake ila by '25 madawa yao yatakuwa yamekwisha nguvu na ndipo hapo mama atakapo wafurumsha kama paka mwizi! 😀😀😀
Zakhiem fremu zile za soko jipya nasikia Meya na Maafisa wengine walikuwa wanapokea hongo ya 10M na kizimba 6m ndomaana RC kagoma kuzizindua!Hapana alikataa sababu huo mtaa wanakaa watu maarufu kina Davis Mosha, Lugumi, Tibaijuka na vigogo kibao so hakuna pesa angehongwa na sheli ambayo asingeweza kuipata akitetea wale vibosile.
Na kama angehongwa ingemtokea puani maana mtaa imejaa vibosile ila ingekua huko Zakheem angepokea tu na wala kusingekua na kelele.
Ukishakuwa na hiyo "Power" unaitumiaje??Watu hawaingii kwenye siasa sababu ya mshahara au NSSF ila POWER kama ingekua mshahara sidhani Gwajima au Ridhiwan angeingia kwenye siasa
Ameuliza eti yeye apewe 300mln azipeleke wapi? Sasa sijui hizo za kumaliza ubunge wake atazipeleka wapiUkatae 300m TZS halafu usubiri pensheni 400m TZS baada ya miaka mitano? Halafu hizo 300m zinafananaje?
Yeah that's my point, power ya kumiliki kila kitu maamuzi, connection, utajiri, mamlaka.... ila sio eti vijimshahara au kiinua mgongo.Ukishakuwa na hiyo "Power" unaitumiaje??
Yaani ukishakuwa na hiyo Power huwezi kuitumia kupata utajiri haramu!!??
Sawa.Yeah that's my point, power ya kumiliki kila kitu maamuzi, connection, utajiri, mamlaka.... ila sio eti vijimshahara au kiinua mgongo.
Rostam has trillions ila aligombea ubunge!! Unadhani ni sababu ya mshahara? Hapana, kulinda biashara zake n.k