Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

Hawa kina Silaha, wamemmulika mama na tochi za kienyeji ili awaone kwenye teuzi zake ila by '25 madawa yao yatakuwa yamekwisha nguvu na ndipo hapo mama atakapo wafurumsha kama paka mwizi! 😀😀😀
 
Hawa kina Silaha, wamemmulika mama na tochi za kienyeji ili awaone kwenye teuzi zake ila by '25 madawa yao yatakuwa yamekwisha nguvu na ndipo hapo mama atakapo wafurumsha kama paka mwizi! 😀😀😀
Watakuwa washakula na kushiba lkn
 
Hapana alikataa sababu huo mtaa wanakaa watu maarufu kina Davis Mosha, Lugumi, Tibaijuka na vigogo kibao so hakuna pesa angehongwa na sheli ambayo asingeweza kuipata akitetea wale vibosile.

Na kama angehongwa ingemtokea puani maana mtaa imejaa vibosile ila ingekua huko Zakheem angepokea tu na wala kusingekua na kelele.
Zakhiem fremu zile za soko jipya nasikia Meya na Maafisa wengine walikuwa wanapokea hongo ya 10M na kizimba 6m ndomaana RC kagoma kuzizindua!

Kaziiyendeleye! Sysyiyemu yoyeee
 
Watu hawaingii kwenye siasa sababu ya mshahara au NSSF ila POWER kama ingekua mshahara sidhani Gwajima au Ridhiwan angeingia kwenye siasa
Ukishakuwa na hiyo "Power" unaitumiaje??

Yaani ukishakuwa na hiyo Power huwezi kuitumia kupata utajiri haramu!!??
 
Ukatae 300m TZS halafu usubiri pensheni 400m TZS baada ya miaka mitano? Halafu hizo 300m zinafananaje?
Ameuliza eti yeye apewe 300mln azipeleke wapi? Sasa sijui hizo za kumaliza ubunge wake atazipeleka wapi
 
Ukishakuwa na hiyo "Power" unaitumiaje??

Yaani ukishakuwa na hiyo Power huwezi kuitumia kupata utajiri haramu!!??
Yeah that's my point, power ya kumiliki kila kitu maamuzi, connection, utajiri, mamlaka.... ila sio eti vijimshahara au kiinua mgongo.

Rostam has trillions ila aligombea ubunge!! Unadhani ni sababu ya mshahara? Hapana, kulinda biashara zake n.k
 
Sawa.
1. Umaskini+madaraka=Utajiri haramu.

2. Utajiri haramu+Madaraka= ulinzi kwa utajiri haramu.
 
Mtoto wa rubani tena wa vindege vya pori hana jeuri ya kukataa 300M ya burebure ni kamba tu.

Anajaribu kuwatangazia wengine bei yake ili wapande dau.
 
Back
Top Bottom