Milioni 4 inatosha kufungua biashara ya grocery au duka la pombe kali?

4M inatosha hata kufungua duka la jumla la vinywaji vya moto na baridi (bia na soda za chupa). Ni wewe kujiposion tu.
Acha kumdanganya mwenzio!? Biashara ya jumla ya inahitaji mtaji mkubwa! Hiyo 4m ni mafungasho ya items chache sanaaaa! Biqshara ya jumla ya vinywaji kiwango cha chini kabisa ni 15m tena hapo ni ya kununulia mzigo tu!
 
Kwaio angalau 20 ama 25?
 
5CD1F731-12AC-42AF-ACA6-BE43768DA389.jpeg

Mahesabu ya chini kabisa kwa store ya vinywaji baridi na kali! Nimeweka common items zingine wataongezea wadau!
 
Acha kumdanganya mwenzio!? Biashara ya jumla ya inahitaji mtaji mkubwa! Hiyo 4m ni mafungasho ya items chache sanaaaa! Biqshara ya jumla ya vinywaji kiwango cha chini kabisa ni 15m tena hapo ni ya kununulia mzigo tu!
ENDELEENI KUMDANGANYA NA MWAMBIENI ASUBIRI KUPATA HEKA ZA KRETI 100 ZA KUANZIA BIASHARA YA JUMLA. SISI WENGINE TULIANZA CRETI 20 ZA BIA NA 20 ZA SODA. YALE MAGARI YA MAKAMPUNI YANAYOSHUSHA VINYWAJI VYA JUMLA YANASHUSHA HADI CRETI 10 UKISHAKUWA MTEJA WAO. KUANZIA BIASHARA WANAHITAJI TU UWE NA UWEZO WA KUCHUKUA KRETI 20 ZA MKUPUO. BAADA YA HAPO HADI KRETI 10 WANAKUSHUSHIA.

WANZATZANIA ACHENI UWOGA.
 
Back
Top Bottom