M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Chai.4M inatosha hata kufungua duka la jumla la vinywaji vya moto na baridi (bia na soda za chupa). Ni wewe kujiposion tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai.4M inatosha hata kufungua duka la jumla la vinywaji vya moto na baridi (bia na soda za chupa). Ni wewe kujiposion tu.
Acha kumdanganya mwenzio!? Biashara ya jumla ya inahitaji mtaji mkubwa! Hiyo 4m ni mafungasho ya items chache sanaaaa! Biqshara ya jumla ya vinywaji kiwango cha chini kabisa ni 15m tena hapo ni ya kununulia mzigo tu!4M inatosha hata kufungua duka la jumla la vinywaji vya moto na baridi (bia na soda za chupa). Ni wewe kujiposion tu.
Kwaio angalau 20 ama 25?Acha kumdanganya mwenzio!? Biashara ya jumla ya inahitaji mtaji mkubwa! Hiyo 4m ni mafungasho ya items chache sanaaaa! Biqshara ya jumla ya vinywaji kiwango cha chini kabisa ni 15m tena hapo ni ya kununulia mzigo tu!
ENDELEENI KUMDANGANYA NA MWAMBIENI ASUBIRI KUPATA HEKA ZA KRETI 100 ZA KUANZIA BIASHARA YA JUMLA. SISI WENGINE TULIANZA CRETI 20 ZA BIA NA 20 ZA SODA. YALE MAGARI YA MAKAMPUNI YANAYOSHUSHA VINYWAJI VYA JUMLA YANASHUSHA HADI CRETI 10 UKISHAKUWA MTEJA WAO. KUANZIA BIASHARA WANAHITAJI TU UWE NA UWEZO WA KUCHUKUA KRETI 20 ZA MKUPUO. BAADA YA HAPO HADI KRETI 10 WANAKUSHUSHIA.Acha kumdanganya mwenzio!? Biashara ya jumla ya inahitaji mtaji mkubwa! Hiyo 4m ni mafungasho ya items chache sanaaaa! Biqshara ya jumla ya vinywaji kiwango cha chini kabisa ni 15m tena hapo ni ya kununulia mzigo tu!
Haahahnje ya mada kidogo mkuu, ulipojiita "mwanamke wa mithali" ulikua unamaanisha nn?
Dada, kuna lipa namba hapa nakusogezea PM, hahaNilishawahi kufungua tabata nikafunga..!
Ilikuwa hekaheka sipumziki kesi za wahudumu na wateja..!!
faida inategemea na mauzo kwa siku local bia ukiuza at least crate 5 sio mwanzo mbaya vile kuna vingine utakuwa umeuza pia like maji soda spirit nkWazoefu wa hii biashara je inaleta faida ndani ya muda gani
ASAP 😂😂Dada, kuna lipa namba hapa nakusogezea PM, haha