malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu Hali nilipo kibiashara ni ngumu nataka toka mkoani kuhamia kibiashara Kariakoo au niagize bidhaa China
Nikiwa Dar vipi kuna kutoboa kweli?
Nikiwa Dar vipi kuna kutoboa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende Nakonde Zambia mkuuWakuu Hali nilipo kibiashara ningumu nataka Toka mkoani kuhamia kibiashara kariakoo au niagize bidhaa china nikiwa dar vip kunakutoboa kweli
Nguo za watoto Umri kuanzia mwezi 1 nakuendelea,navitu vya watoto baby walker,chuchu,namakorokoro mengineBidhaa gani
Upo kamanda Mzee wa machimbo kariakooTwende Nakonde Zambia mkuu
Nakonde Zambia kukoje kunaishu zipi naweza piga pesaTwende Nakonde Zambia mkuu
Mfano wa kiwanda cha bidhaa gan mkuuUkitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.
Inategemea demand na supply ya eneo unalotaka kufanya biashara ila mashine za bidhaa zipo nyingi ni wewe unataka kufyatua nini na mtaji wako unaweza nini.Mfano wa kiwanda cha bidhaa gan mkuu
Unafyatua zako wanakuja OSHA wanasema mazingira hatarishi kwa wafanyakazi na majirani, manispaa wanasema huna kibali kugeuza nyumba ya kuishi kuwa kiwanda, polisi wanasema unahatarisha raia wamepokea malalamiko, TANESCO wanasema umeunga nyaya hovyo.Ukitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.
Nipo mkuu, wazee wa fursa mnatuacha nyuma mpaka mnafeli kabisa ndo mnalialia. Twende nakonde mzee ule upande wa zambiaUpo kamanda Mzee wa machimbo kariakoo
Bidhaa yote za kariakoo kule unpiga pesaNakonde Zambia kukoje kunaishu zipi naweza piga pesa
Kama uko mkoani bila kuwa na mentor wa kuaminika kabisa Kariakoo (mzoefu wa kazi hiyo na mwenye upendo juu yako) utateseka sana.Wakuu Hali nilipo kibiashara ningumu nataka Toka mkoani kuhamia kibiashara kariakoo au niagize bidhaa china nikiwa dar vip kunakutoboa kweli
Utajiri ni Siri achana na hizo sauti za hofu mkuu umaskini ni matokeo ya kushindwa vita yake. KwaheriUnafyatua zako wanakuja OSHA wanasema mazingira hatarishi kwa wafanyakazi na majirani, manispaa wanasema huna kibali kugeuza nyumba ya kuishi kuwa kiwanda, polisi wanasema unahatarisha raia wamepokea malalamiko, TANESCO wanasema umeunga nyaya hovyo.
Unaambiwa una kiwanda bubu kihamishe au tafuta vibali. Taasisi kibao na idara za serikali wanaanza kuzunguza kwa zamu hapo kila muda uwahonge. Na hapo hujachakata vyakula au vipodozi. Sio kitu rahisi watu wajipange kukwepa hiyo mishale alafu waingie.
Mimi nilitaka watu wajue sio jambo rahisi kufyatua bidhaa nyumbani. Na si kila aina ya bidhaa inafaa.Utajiri ni Siri achana na hizo sauti za hofu mkuu umaskini ni matokeo ya kushindwa vita yake. Kwaheri
Viwanda vidogo vidogo kama vip hivo au mashine zipi zakwenda kununua chinaUkitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.
Nikweli usemacho maana Kuna jamaa namjia alikua anafanya biashara ya hardware kariakoo akaacha akaingia china akachukua mashine za kutengenezea hardtape hizo tape zakugundishia mabox,viroba aisee anapiga pesa balaaa..tape zake zimezagaa nchi nchi nzimaUkitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.
Nakonde kukoje kibiashara ukoNipo mkuu, wazee wa fursa mnatuacha nyuma mpaka mnafeli kabisa ndo mnalialia. Twende nakonde mzee ule upande wa zambia