Vipi kuhusu raw materials? Nadhani kuna ambazo utatutoa nje ya nchi pia. TRA bado unao tu. Labda kwa baadhi ya bidhaa ambazo raw materials ni za hapahapa nchini.Ukitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.