Milioni 50 nihamie Dar Kariakoo kibiashara au kwenda China

Kule mzee hela ipo sana tu biasjara vinatembea fresh tu

Padone EPM
Hawapulizani...mmh nilienda mtwara nkapiga biashara moja na mtu akakamatwa na kadada aisee kila nikianza kumlalamikia sikuelewi yule mdada ananiangalia vbaya usiku naota nafanya mapenzi na mwanamke asbh hoi....yakanishinda

Nimefika dar safi kabisa
 
Hakuna mkuu, dar unapiga wapi mana kuna bos wangu anataka frem maeneo yaliyochangamka

raraa reree
 
Mkuu uko mkoa gani .
Kama upo Dodoma, au mkoa wenye shida ya maji safi . Na uhitaji ni mkubwa kama apa Dodoma, ambapo huduma za maji safi ni hakuna na jiji linakuwa kwa Kasi.

Basi fungua stock ya kuuza maji, rejareja na jumla.
Ila inabidi usimamie mwenyewe Kwanza 😎.
 
Kabisa utajiri ni uzalishaji, ukisha kuwa mzalishaji wa bidhaa fulani basi utajiri una gonga hodi mlangoni kwako.
Ukitaka kutoboa bongo achana na biashara za imports ni risk maana faida mnagawana na TRA most times cha kufanya nenda china katafute mashine njoo bongo tafuta nyumba ya production weka mashine ndani fyatua bidhaa zako ingiza sokoni utanishukuru baadae mimi nafyatua vitu vyangu sina stress kabisa na TRA najipigia faida nayotaka. Utajiri ni kuwa na kiwanda/viwanda kiwe kidogo au kikubwa ni utajiri.
 
Mkuu tuorodheshee mfano wa bidhaa tunaweza zalisha

Je vp kuhusu skills?

Na ikitokea mashine imezingua, vp kumpata fundi?
 
Back
Top Bottom