Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Edward Ole Lekaita ametembelea Kisima cha Maji Bwagamoyo ili kukagua maendeleo ya mradi huo wa Mradi wa Maji wenye thamani ya Shilingi Milioni 750,000,000
Ziara ya Mhe. Lekaita ililenga kukagua Ujenzi wa Miradi ya Maji, kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Choo katika shule ya Sekondari Kiteto.
Ziara ya Mhe. Lekaita ililenga kukagua Ujenzi wa Miradi ya Maji, kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Choo katika shule ya Sekondari Kiteto.