100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Naiona Israel ikiumia vibaya sana kama kweli vita itakua imerudi.Milipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz, huku mashuhuda wakisema kuwa milipuko hiyo ilitokea upande wa baharini.
Source Aljazeera.
Kwa ufupi US na Israel wameanza mashambulizi.
Tutayasikia mengiMilipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz, huku mashuhuda wakisema kuwa milipuko hiyo ilitokea upande wa baharini.
Source Aljazeera.
Kwa ufupi US na Israel wameanza mashambulizi.
Wazee wa kujifarijiNaiona Israel ikiumia vibaya sana kama kweli vita itakua imerudi.
Hii vita inahumiza sana sijui kwann wasikae meza moja wapate suluhuIranian namwamini hawana mbambamba MOTO wanauweza kweli kweli
Echolima1 ukuje mbioo washindwa wako
wametaka tena round nyengine ya Vita!!!!!!!!!
Zilishuka kufuatia mazungumzo ya Iran na Qatar,wahuni wameona faida itapunguaBei za mafuta ndio kifuatacho ITV
Ndicho serikali yako ikijuacho. Deal la dangote limekuja mtu anazungumzia kupiga vijana mikwajuBei za mafuta ndio kifuatacho ITV
Ndicho serikali yako ikijuacho. Deal la dangote limekuja mtu anazungumzia kupiga vijana mikwaju
Zilishuka kufuatia mazungumzo ya Iran na Qatar,wahuni wameona faida itapungua
Misri,Algeria,Morocco kuna viwanda vya mafuta na bei ya mafuta ni ndogo. Ni nchi za watu weusi pekee zenye laana ndio zinachukulia kila kitu faida. Nigeria Dangote alishaanza kuleta mkakati wa kupunguza bei ya mafuta kutoka kwenye refinery zake,mwishi wanasiasa wakamkalia kooni. Nigeria ni nchi ya kifisadi zaidi duniani wala usiitolee mfano. Deal la Dangote kama litatimia mafuta yatakua bei ndogo sana.Kwani kiwanda kitashusha Bei ya wese
Kaulize Nigeria kule kama kuna Mafuta ya bei ndogo
Uko Kenya kwenyewe kuna kesi Mahakamani kupinga Ujenzi wa kiwanda cha Dangote!!!
Tanzania hatuna sababu ya kujenga kiwanda kwetu kwa ushindani muhimu zaidi faida kwa uwekezaji wenyewe!!