Hii vita inahumiza sana sijui kwann wasikae meza moja wapate suluhu
Huwezi kuamini lkn Ulimwengu wote tunapitia magumu ya mafuta kisa Iranian ni tishio la Israel
Kutoa vikwazo kwa Iranian kunamaana Mafuta yangeshuka bei
Sasa kuna vizingiti viwili vikubwa
1) kutoa vikwazo maana yake na Iranian watafaidika na mauzo ya Mafuta na Gas
Manake Uchumi wao utakuja juu sana
Wakiwa na Uchumi mkubwa ndivo hatari kubwa kwa Usalama wa uwepo wa Israel ¿¿¿
2)
Chini ya Trump kakusanya Wafanyabiashara wakubwa wa Marekani kawapeleka wakaingie Mikataba mikubwa ya ubia kwenye makampuni mengi ya Mafuta na Gas ya nchi za Gulf States
Waarabu waliambiwa na Trump kuingia Mikataba na Wafanyabiashara wa Marekani kunaana kubwa kwenu Sababu kwasasa Iranian wanauza sana Gas na Mafuta
Baada kusaini Mikataba na Wafanyabiashara wa Marekani
Mimi yani Trump naenda kupiga marufuku Ulimwengu kununua Mafuta na Gas ya Iranian kutokea hapo Ulimwengu utamimika kwenu kununua Mafuta na Gas
Sababu mm yoyote mwenye kunipinga naenda kumwekea Vikwazo kufanya Biashara namimi
Kwakua nchi nyingi Duniani wanamausiano makubwa ya Kibiashara na Marekani
Wakafanikiwa kuzuiya nchi nyingi
lkn China kwa Iranian ni mzununuzi mkubwa yeye kuendelea kununua Iranian
Kwaiyo Gulf States wakapata faida Kubwa pamoja na Marekani kupitia uwekezaji wao
Mgogoro wasasa Iranian wanataka kuondoshwa kabisa kwa Vikwazo vyao
Ndio watafungua Hormuz
Kufunga kwa Hormuz kunamaana
Gulf States wote kwa pamoja wamefungiwa njia ya kuuza Mafuta na Gas na rasilimali zao nyengine
Mgogoro ni mgumu kiutawala kama wewe unafanyeje kutatua
tatizo ????
1) Marekani wakiondosha vikwazo
Manake hasara kwa kampeni zake
2)kinyume na makubaliano ya Gulf States kabla ya kusaini Mikataba ya kuwapa Hisa wawekezaji wa Marekani
3) kuondoshwa Vikwazo ni hatari kwa Usalama wa Israel manake Iranian wakiuza rasilimali zao Mafuta na Gas wakijaaa mipesa wanaweza kudhamini alakati za kuipinga Israel kwenye eneo
Pamoja na Vibalaka wengine wa kiarabu kwenye eneo lote la Gulf States nk!!
Narudia swali kama ww ndio Trump ungefanya nini ????