Jamani ebu tumpe sifa zake huyu kijana he deserve!
Kwanza anajituma,anaheshima,hana makundi,ni mkarimu,
Anapigania life yake step by step ili atoke kwa njia salama
Ni handsome,akismile na wewe ni lazima Usmile,ana rangi ya kiume
(yaani chocolate)ana muonekano wa kistaa,,,
you can mention anything jamani wadhamini pandeni
mbegu kwa kijana huyu hata kumwendeleza zaidi ili aje hata kutangaza CNN
kwani ana nyota na anaweza kuitangaza TANZANIA VIZURI.
Huu ni ukweli mtupu na wala hakuna ubishi,
Simply the best!

Watanzania ndo mlivyo mkiona kijana njia ya pesa imenyoka mnaanza kulowesha vyupi vyenu - Yo Yo
yani akitoka wafu fm na kuacha kujihusisha na wale masharobaro atafika mbali