Millad ayo!

Millad ayo!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Jamani ebu tumpe sifa zake huyu kijana he deserve!
Kwanza anajituma,anaheshima,hana makundi,ni mkarimu,
Anapigania life yake step by step ili atoke kwa njia salama
Ni handsome,akismile na wewe ni lazima Usmile,ana rangi ya kiume
(yaani chocolate)ana muonekano wa kistaa,,,
you can mention anything jamani wadhamini pandeni
mbegu kwa kijana huyu hata kumwendeleza zaidi ili aje hata kutangaza CNN
kwani ana nyota na anaweza kuitangaza TANZANIA VIZURI.
Huu ni ukweli mtupu na wala hakuna ubishi,
Simply the best!
 
kweli eeeh,ndo nani hyu kwani?
 
Hapo naona wasifu umepitiliza. Labda kama wewe ni ile jinsia tofaut na ya millad...
 
Milard anajishusha sana.....hata mimi namkubali huyu kaka......kweli Mungu ambariki afike mbali
 
mhmmm mkuu una jinsia gani aisee? kwanini tusimpongeze kwa kazi yake nzuri kuliko kuandika sifa moja baada ya nyingine?
 
He deserve the best......,
napenda anvyotangaza,sauti yake yanikosha

akismile na mimi nismile sina hakika kama imewah kunitokea
 
Jamani ebu tumpe sifa zake huyu kijana he deserve!
Kwanza anajituma,anaheshima,hana makundi,ni mkarimu,
Anapigania life yake step by step ili atoke kwa njia salama
Ni handsome,akismile na wewe ni lazima Usmile,ana rangi ya kiume
(yaani chocolate)ana muonekano wa kistaa,,,
you can mention anything jamani wadhamini pandeni
mbegu kwa kijana huyu hata kumwendeleza zaidi ili aje hata kutangaza CNN
kwani ana nyota na anaweza kuitangaza TANZANIA VIZURI.
Huu ni ukweli mtupu na wala hakuna ubishi,
Simply the best!

Watanzania ndo mlivyo mkiona kijana njia ya pesa imenyoka mnaanza kulowesha vyupi vyenu - Yo Yo
 
Last edited by a moderator:
The guy is good!
He is so different na watangazaji wengine wa station yake! Hana gossips za ajabu ajabu!
News zake zina content!

A good person in a wrong position!

Pale watamfundisha umbea waliozoea coz bila umbea vipindi vyao haviendi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jamaa kamshika sana Mungu that's mambo yanakwenda vizur.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
...watanzania sisi ni watu wa ajabu sana... "chichidodo".. hate the feaces but feed on maggots....
 
yani akitoka wafu fm na kuacha kujihusisha na wale masharobaro atafika mbali
 
nothn2say unless he's some'wea else out'of that idiot's (clouds media)....maybe can'prove wrong'by himself!!
 
Haya kachukue buku1 na 500 pale mawingu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yuko Smart sana acha apewe sifa zake he deserve, well done Millard Ayo..
 
kwa muonekano wake tu anaonyesha ni mtu mmoja mwenye heshima sana,na anaipenda kazi yake.kwa bidii zake atafika mbali tu
 
yani akitoka wafu fm na kuacha kujihusisha na wale masharobaro atafika mbali

ebu niambie ni redio gani nyingine bongo yenye hadhi yake kwasasa, na kwa nature ya vipindi vyake anaweza kushine kama hapo alipo clouds?
 
Anastahili hongera, aendelee kukuaza buti atafika mbali, mie huwa situne mawingu kbs ILa ikifika saa moja jioni napenda kusikiliza kipindi chake, anasauti nzuri, ni mbunifu, Ubarikiwe Milardi.
 
Back
Top Bottom