Millard Ayo ana tatizo gani na habari za Upinzani?

Habari zenyewe ni za ku copy & paste wala siyo kusema ni habari za kiuchunguzi halafu Eti watu wanamuona hodari, uhodari uko wapi hapo sasa huko ku copy na ku paste ?! [emoji3526][emoji18][emoji18][emoji3526]
 
Huyo kijana ni miongoni mwa "WATAPIA TUMBO", anajifanya mjanja wa kukwepa lawama za TCRA, au pengine kaishapigiwa simu na Profesa Polepole asiandike chochote kuhusu upinzani...
Mwisho wa haya yote ni October ndugu. Wait and see. Watanzania wa sasa sio wa juzi. Wanaona yote na watatoa hukumu yao baada ya uchaguzi.
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua...
Badala ya kutafuna fedha za rudhuku. Basi muelekeze nguvu ktk kujenga ofisi zenu na kufungua vyombo vya habari,lakini so kutegemeaTanzania daina ya mbowe
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua...
Acha Ulimbukeni unadhani Tundu Lissu ana taarifa gani ya kuhabarisha Umma wa Watanzania zaidi ya taarifa za kuwasifia Wakenya na Wakoloni. Au unamlazimisha Miladayo naye awe Mtukuza wahujumu uchumi wa nchi yetu.
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua...

Watanzania wivu na chuki. Mtu katumia kipaji chake wewe unajifanya eti CHadema. Lini mtabadilika. Ok wewe Mfano Kama shida washabiki wa CHadema. Si anzisha account yako. Watakuja tu. Si kipaji sio muhimu. I really hate people like you. Wivu. Wivu na unafiki.
 
Huyo kijana ni miongoni mwa "WATAPIA TUMBO", anajifanya mjanja wa kukwepa lawama za TCRA, au pengine kaishapigiwa simu na Profesa Polepole asiandike chochote kuhusu upinzani...
Kama dogo Aslay Kuna Wimbo kauimba wa kusifia ccm mpaka nmemvua vyeo,kasifia kijinga sana
 
Mimi nime mu-unfollow leo kwenye page yake ya instagram tukifanya hivyo wengi atapunguza followers hivyo kampuni zinazompa matangazo kama GSM zitapungua kutokana atakuwa Hana followers wengi.Tukumbuke hata Lemutuz alipunguza followers kwenye page yake ya instagram baada ya kuwa sana upande Bashite.sasaiv lemutuz amepauka Hana tena dili za matangazo.
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua...
Iko siku mtamshukuru kwa kutofanya mnayotaka afanye. Lissu badala ya kukusanya saini za wadhamini, anafanya na mikutano ya kampeni kabla ya muda. Akiwekewa pingamizi ushahidi ni hizo video mnazoshinikiza Ayo azisambaze. Mnadhani Magufuli hana uwezo wa kutembea nchi nzima kukusanya hizo saini?
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua...
wana Chadema & ACT wote wam unfollow tu... as simple as that!
 
Kijana huyu baada ya kupata mafanikio kupitia sisi vijana, ghafla ameanza kujisahau. Zaidi ya 90% ya followers wake instagram pamoja na subscribers wake ni wafuasi kindakindaki wa CHADEMA na hilo analijua.
Acha kupangia watu maisha,Kama anakukera hamia kwa Malisa atakupa habari unazozitaka wewe
 
Tanzania daima lipo wapi?
 
Akipost vitu vya upinzani wananchi wanadis mno, Hata page ya Jf (instagram) aisee
Mpaka nahisi Upinzani upo sana Jf
 
Tanzania daima lipo wapi?
Kwahiyo mnataka na Millardayo afungiwe? Afe njaa? Anayelalamika kwanini asichukue hatua akafanya kile anachohisi millard hafanyi? Millard siyo mwanaharakati anatafuta kula pale alipo inabidi mwelewe tu.
 
Unamuonea bure, kwani wewe ni mgeni hapa bongo?
Hata picha huioni?

Unataka afunge biashara yake sababu ya kuridhisha kila mtu? Si afadhali abakiwe na hao wachache lakini abaki kwenye biashara?
Kweli aisee kila mtu aangalie maisha yake akifeli hakuna atakayemsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…