Millard Ayo ana tatizo gani na habari za Upinzani?

Njaa mbaya sana, hatakiwi kuwa biased kiasi hicho. Tenda haki kote kote bila kuegemea upande mmoja!
 
Acha Ulimbukeni unadhani Tundu Lissu ana taarifa gani ya kuhabarisha Umma wa Watanzania zaidi ya taarifa za kuwasifia Wakenya na Wakoloni. Au unamlazimisha Miladayo naye awe Mtukuza wahujumu uchumi wa nchi yetu.
Kwani Polepole ana taarifa gani ya kuuelimisha umma wa watanzania zaidi ya kulalamikia hati miliki ya TID?
 
Wewe ambae hujui hata tupo awamu ya ngapi pia unathubutu kuchangia? eti Magufuli Rais wa awamu ya sita tehe tehe tehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…