Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.
Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon later akaanza kuzunguka na wanasiasa ambao kabla hajafahamika wao walikuwa na mipango yao. Kafahamika wameweka kwapani.
Nimeandika huu uzi kuonesha namna siasa ya chama kimoja inavyoathiri maisha na vipaji vya watu wetu. Wenye uwezo wa fikra wote wanalazimishwa kufikiri kama walivyo wenye chama.
Wivu Kidonda Aisee
Itachukua karne Kumuangusha MTU WA NGUVU Millard Muyenjwa Ayo...Na siku ikitokea Ameondoka dunia hii itachukua Karne kumpata MTU WA NGUVU kama M.Ayo...Acha wivu na siasa zako
Mtoa Mada Hana chuki,mm mwenyewe namuelewa sana mdogo wangu huyu ila tunawajua wanasiasa na gundu zao,sio wote tunaopenda siasa hasa za mrengo flani.Kuchukua mrengo is the worst na lazima prejudice iwepo.