Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.

Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.

Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon later akaanza kuzunguka na wanasiasa ambao kabla hajafahamika wao walikuwa na mipango yao. Kafahamika wameweka kwapani.

Nimeandika huu uzi kuonesha namna siasa ya chama kimoja inavyoathiri maisha na vipaji vya watu wetu. Wenye uwezo wa fikra wote wanalazimishwa kufikiri kama walivyo wenye chama.

Inakwaza ila inafundisha
 
Na wewe fungua yako uwe new milad ayo

Mnapenda kudadisi mambo ya watu huku hata yenu yanawashinda

Alipofika Milad ajafika kwa bahati mbaya ukitaka kuamini blog zenu za Chadema mwanahalisi sijui uchafu gan zimejifia kitambo

Milad anabaki kuwa blog Bora kwa miaka 10 Tz na wanaomfwatia yeye yupo 80% wengine akina Global wapo kwenye 10%, 5%


Dogo ana kipaji na anaishi kwa maarifa
 
Wivu Kidonda Aisee
Itachukua karne Kumuangusha MTU WA NGUVU Millard Muyenjwa Ayo...Na siku ikitokea Ameondoka dunia hii itachukua Karne kumpata MTU WA NGUVU kama M.Ayo...Acha wivu na siasa zako
 
Mtoa Mada Hana chuki,mm mwenyewe namuelewa sana mdogo wangu huyu ila tunawajua wanasiasa na gundu zao,sio wote tunaopenda siasa hasa za mrengo flani.Kuchukua mrengo is the worst na lazima prejudice iwepo.
 
Nishamunfollow page zote hadi Twitter,tatizo vijana wa Arusha hua ni machawa kwa asili
 
Back
Top Bottom