Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

DexterLab

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
443
Reaction score
584
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,


nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
 
Huyu jamaa milady atakuwa anashida mahali sio bure kabisa
 
Millard Ayo ni sehemu ya udhalimu tena wazi wazi 😃
 
Kaka hawa achana NAO watajaa TU KWENYE MFUMO alafu wakitaka huruma zetu nikuwashauri TU waende uhamishoni huko HAMNA kuhurumiana
 
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,


nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
Kijana tumuache anajitafuta hana huo ujasiri.kama magwiji wa habari na utangazaji kama akina Mayalla,Balile na Absalom kibanda ambae alinyofolewa jicho na wasiojulikana wamesalimu amri atakuwa huyo mvulana.mwacheni dogo aendelee na maisha yake.very innocent.
 
Back
Top Bottom