Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,


nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
Ukimpost wewe bwana wako polepole inatosha aise.
 
Jamaa ameshaingia kwenye vicious puzzle, humo unazunguka tu, hutoki.
 
Mfano akipost halafu MaCCM yakapita nae, mtamsaidia?!

Wabongo mnapenda kusemewa ila hao wanaowasemea wakipatwa mnalala mbele.

Millard Ayo hana ID fake, wewe unayo.
Wamesha jazwa upepo na Mange Kimambi.
 
Umeona kuna mainstream wowote wamepost zaid ya jamii forum,afu achen kumshambulia millard kila siku mnataka awasemee akiwasemea mko tayari kumtetea yakimkuta ya kumkuta,lissu tu yupo ndan mpaka leo mmemsaidia kwa kip,kina mdude wamebebwa wameenda kuuawa mmemsaidia nn zaid kaacha mke na vitoto vidogo havina msaada wowote,kifup watanzania hamsaidiki
 
Kuna watu wametengeza kingdom zao kwa shida
Akijaribu tu, Shetani ataivunja hiyo kingdom aliyoijenga kwa miaka 13

Mtu anazima Internet,
Huyo si amebakiza mwezi na jua
Si alisema yeye ni chura kiziwi sasa anazima mitandao kwa hofu ya kusikia nini?
 
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,


nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
unatakiwa uwe mwelewa sio kila kitu cha kuanza kujadiliana
 
Millard Ayo ndo mwandishi mwenye nguvu sana kuliko hata media zote hapa Tz akiamua kuvuruga mambo ni sekunde 1 tu Tz nzima inafoka moshi, lazima mamlaka zitakua zinamjali kiaina flan anakula asali taratibu
bado sana, redio zna nguvu sana
 
Millard Ayo ndo mwandishi mwenye nguvu sana kuliko hata media zote hapa Tz akiamua kuvuruga mambo ni sekunde 1 tu Tz nzima inafoka moshi, lazima mamlaka zitakua zinamjali kiaina flan anakula asali taratibu
Nguvu gani hiyo anayo . Usionge kitu kabla ya kufanya utafiti
 

Attachments

  • Screenshot_20250719_075256_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20250719_075256_Instagram Lite.jpg
    31.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250719_075229_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20250719_075229_Instagram Lite.jpg
    28.6 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250719_075408_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20250719_075408_Instagram Lite.jpg
    24.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250719_075332_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20250719_075332_Instagram Lite.jpg
    25.6 KB · Views: 19
Kwanini haujauliza TBC mirrad hana deni na hana ujinga kama ambavyo tunataka kuwaaminisha watu muachen Kijana katoka mbali
 
Back
Top Bottom