Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Millard kwel anajituma ila hyo 50-80M kama Gahawa vile
 
Kazi ya Millard ni nzuri but mnavyotaka kuaminisha watu ndio inazidi kufanya wabongo tuonekane wapumbavu kama sio wajinga. Ni bora tukikaa cha kuongea tunyamaze. Kukaa kimya nayo ni akili. Tuache kuongea mambo bila evidence. Tuache kupotosha. Tubadilike. Kila kitu now days kinapatikana Google. Kwa nini kupotosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi sijapotosha mtu
Nimeongea kile ambacho kinafanyika
Youtube wanalipa endapo tangazo kwenye video yako litaangaliwa angalau kwa sekunde 30 tena utalipwa kwa views 1000 dollar 7 na point kadhaa hivi
Kwenye hayo malipo youtube anachukua 45pc ya malipo yako
Hivyo kwa millardi na diamond kutengeneza hizo hela ni uongo maana sidhani kama wana views za kutosha kiasi hicho
Na wao video zao nyingi hazina matangazo

Kama ingeangaliwa views tu
Justin Bieber angeongoza maana video zake nyingi zinasoma 1bil na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…