PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ufungue, au wewe hutaki pesa?
-Ndumilakuwili-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ufungue, au wewe hutaki pesa?
Hahahahahaaa,.Ml 80 kwa mwezi that's means anamzidi Magu kwa mshahara? Haaaa haaaa hi hatarii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah pole sana mkuuIvo una akili mi napata hela wapi wakati yeye 50m per month,...
Kazi ya Millard ni nzuri but mnavyotaka kuaminisha watu ndio inazidi kufanya wabongo tuonekane wapumbavu kama sio wajinga. Ni bora tukikaa cha kuongea tunyamaze. Kukaa kimya nayo ni akili. Tuache kuongea mambo bila evidence. Tuache kupotosha. Tubadilike. Kila kitu now days kinapatikana Google. Kwa nini kupotosha?Kama hamna uhakika msiwe mnakuja tudanganya hapa
Youtube hailipi kwa views au kwa idadi ya watu walio view content yako
Youtube wanalipa kwa matangazo yanayotokea kwenye video uliyoweka
Piga hesabu sasa ni matangazo mangapi ya youtube unayakuta kwenye video za millardi au diamond
Kwa ad views 1000 mtu hupata approximately 7.9 dollars ambazo hapo youtube wanakata 45pc wanaichukua wao
Ili upate angalau dollar 3000 watakiwa upate viewers watakao view ads kwenye video zako zaidi ya viewers milioni moja
Kuna youtube superstars wenye subscribers zaidi ya milioni wanaishia hicho ulichosema kuhusu diamond na hiyo ni hela ya mwaka mzima sio ya mwezi kama unavyotaka danganya watu
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana..Si ufungue, au wewe hutaki pesa?
Kazi ya Millard ni nzuri but mnavyotaka kuaminisha watu ndio inazidi kufanya wabongo tuonekane wapumbavu kama sio wajinga. Ni bora tukikaa cha kuongea tunyamaze. Kukaa kimya nayo ni akili. Tuache kuongea mambo bila evidence. Tuache kupotosha. Tubadilike. Kila kitu now days kinapatikana Google. Kwa nini kupotosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Milele amina..!!Tumsifuni Yesu kristo
Siku nyingi zimepitaa!Ofcourse, hata mimi niloshawahi kumsikia akihojiwa THE SPORAH TV SHOW.
brain is the beautiful part of the body.