Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

hahahahahaha lol.... Mil 50 kwa mwezi hahahhahaha labda za Zimbabwe.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
usidanganye watu
 
yale matangazo ya voda au wadhamini wengine ambao millard huyachomeka ndio huumpa pesaa
 
Yaani Amewapita Presidential Appointee Wa Rais Maana Waliambiwa Mwisho Millions 15
Kwan wale wanategemea mishahara tu?
Unafikiri Rais nae anategemea mshahara?

Mbona Marketing director wa TBL anakula Tsh 45M? Anamzidi Rais wako na chenchi inabaki nyingi tu
 
Mitanzania mingi ni mijinga sana
Mbumbumbu haielewi hata kusoma haijui na mingi iko mitandaoni
Hata kwenda google tu kujua jinsi wanavyolipa youtube hawawezi

Tuna safari ndefu sana
Mkuu nadhani sasa ungepunguza mihemko. Kama ulivyosema tuna safari ndefu na imani bado tuko katikati ya safari bado hatujafika. Kama tutafika na huo umbumbu bado upo hapo ni sawa.

Siyo kila mtu ana uelewa kama wako. We differ
 
Bila shaka hata akitaka Kukuolea Dada yako hutamfanyia Ngendembwe / Hila / Mtimanyongo Mkuu na utampa ushirikiano wa Kutukuka.
hahahah uzuri sina dadaa.. ila jf ninao kibao nazan watamsaidia sana kwenye website yake
 
Nilitaka kuandika ivi ivi afadhali umekuja kumuelewesha.. Hawa watu sijui wanatoa wapi izi habari.. Tafadhali mods futeni huu uzi unadanganyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zuu_bae wa instagram aliishia wapi ,,shilawadu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…