mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Blogu yake inajiyegemea ila yeye anamilikiwa.Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.
Labda ungetuelewesha kwa lugha ya KimakondeLabda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."
Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.
JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.
#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice [emoji28] )
Hilo tumuachie "MAYONIZE YA WOLPER"Labda ungetuelewesha kwa lugha ya Kimakonde
Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.
Hapana ni baba ake mzazi wa kambo, ndugu wa shemejiMillard ayo ndio Nani?!! Jide namjua ila huyu Ayo ndio mume wake?