Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Amepigana sana huyu dada kumpata huyu mtoto . Mungu amtunzie kwakweli mtoto wake .
 
Kama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
 
Hivi huyu si ndie alikuwa mchumba wa MEKI MEKISIME ( sijui kama nimepatia jina)?
 
Kama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
Sure watu wanaweza kuishi maisha yao japokuwa ni masuper star.
But Kaweka Jana video yake na tumbo lake alivyokuwa anaebda kujifungua huko Columbia.
 
Mungu amekosa waja!
Kuzaa ni adhabu aliyopewa mwanamke.
Utekelezaji wa adhabu hauambatani na sifa kwa mtoa adhabu.
Adhabu ambayo inaleta furaha mioyoni mwa wanadamu kuwa na mtoto ni furaha tosha si mwanamke tu hata mwanaume
 
Back
Top Bottom