Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Sure watu wanaweza kuishi maisha yao japokuwa ni masuper star.
But Kaweka Jana video yake na tumbo lake alivyokuwa anaebda kujifungua huko Columbia.
Mange alisemaga Kua Magesse ni mjamzito mbonaaa...!!!

none of the above
 
Tetesi zilikuwepo mbonaa....mbea wetu alishatuambia mudaaa... [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1]

none of the above
Nimejaribu kufuatilia interviwe zake za nyuma.... Na nilicho kiona leo, inakuwa vingumu kuamini... Labla nione picha kama za Zari au Linah ndiyo nitaamini... Mungu katenda miujiza
 
Watanzania wengi ni kama hawana akili, hata ukiwadanganya watajitokeza na kusema hongera, na kuna uwezekano mkubwa san akuwa huwa hawasomi kinacho andikwa kwenye makala husika ila baada ya kuona wenzao wanasifia na wao pia wanasifia.

Huyu mdada aliwahi sema kuwa hana uwezo wa kuzaa, na keshafanyiwa operations zaidi ya mara 3 kuhusiana na hilo tatizo.

Huyu atakuwa kapata mtoto kupitia surrogate mothers
 
Amehubiri sana kuwa hawezi kuzaa, leo anakuja na stori za kuzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi ni kama hawana akili, hata ukiwadanganya watajitokeza na kusema hongera, na kuna uwezekano mkubwa san akuwa huwa hawasomi kinacho andikwa kwenye makala husika ila baada ya kuona wenzao wanasifia na wao pia wanasifia.

Huyu mdada aliwahi sema kuwa hana uwezo wa kuzaa, na keshafanyiwa operations zaidi ya mara 3 kuhusiana na hilo tatizo.

Huyu atakuwa kapata mtoto kupitia surrogate mothers
Kumbe na wewe unahisi halafu unatukana wenzako wakati huna uhakika na kile unachohisi. Huoni kama unakuwa unaingia kwenye nafasi za juu kabisa za hao Watanzania wengi wasio na akili? Mtu kasema alikuwa na MIMBA na AMEZAA watu wanapongeza we umeng'ang'ana haiwezekani wewe ndio Mungu? Hayo ya surrogate mother yametamkwa wapi au ndio ulikuwa wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuhangaika sana dada Millen magese ama zamani happiness magese na aliyewahi kuwa miss Tanzania, hatimaye mnamo tarehe 13 july 2017, 06:58 am amefanikiwa kupata mtoto wa kiume KAIRO MICHAEL MAGESE
30e5a8ccc97c17d47a8e1373e11065c7.jpg
fa875c334776ee581c2c3cdc6eb1878b.jpg
0e9336f47034cdc3271781f299a54bda.jpg
2acba41a944d89fbe9e6d177702fd56f.jpg

Ikumbukwe dada millen amehangaika sana lakini hakukata tamaa, nadhani watu wenye matatizo kama hayo msikate tamaa.....

Hongera Millen

Hongera zake sana ila anatakiwa amshukuru kunakotukuka huyo aliyepatia kumjaza hiyo Mimba baada ya wengine wengi waliopita kuishia tu kugongesha mibesela.
 
From researchers point of view.
To me, only mouth can guarantee speech.
SMH Psycho......
A figure of speech is a word or phrase that has a meaning other than the literal meaning. It can be a metaphor or simile that's designed to further explain a concept.
 
Back
Top Bottom