Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Kama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
Alikuwa anajificha mtamuona muhongo kavaa liplastic!
Maana kapata mtoto wengi wao wanaanza kupopoa mawe,eti achunguzwe labda kaiba[emoji15] [emoji15]
 
Huyu dada jamani acheni afurahi kahangaika sanaaaa Mungu hamtupi mja wake
 
Alikuwa anajificha mtamuona muhongo kavaa liplastic!
Maana kapata mtoto wengi wao wanaanza kupopoa mawe,eti achunguzwe labda kaiba[emoji15] [emoji15]

Binadamu tuna asili ya roho mbaya na hatupendi mafanikio ya wengine.
 
Mtu ambae hajawahi zaa na watu wanajua kuwa hajazaa apate mimba akae kimya?
Miezi 9. Hivi unadhani mimba ni sawa na mswaki kuwa unaweza uficha mfukoni?
Screenshot_20170721-094738.png
punguza negativity...she had a misscarriage a year back..so she wasnt so sure if she will sustain to 9months thats why she was quite ..

love thé love or hâte thé love.....
 
View attachment 547194 punguza negativity...she had a misscarriage a year back..so she wasnt so sure if she will sustain to 9months thats why she was quite ..

love thé love or hâte thé love.....

Mbona mimi sijabisha?
Kwanini sasa alitangazia watu kuwa hataweza zaa afu kazaa, huoni aliwakatisha tamaa watu wenye hilo tatizo?
 
Mbona mimi sijabisha?
Kwanini sasa alitangazia watu kuwa hataweza zaa afu kazaa, huoni aliwakatisha tamaa watu wenye hilo tatizo?
Kuna mama humu jf alikuja na uzi akasema ameambiwa kwamba hatoweza kuzaa kabisa..ila baadae akapata mimba na akazaa.
Kuna ndugu yangu alikua anaumwa ini na hospital akaambiwa kwa hatua aliyofikia hatoweza kupona.
Ila akabadili tiba na sasa ni mzima kabisa na viroba anakunywa.
Nadhani hauamini katika kufanya yanayoaminika kwamba hayawezi kufanyika..
Au basi wewe umezoea ubishi.

love thé love or hâte thé love.....
 
Hongera nyingi sana kwako Miss H Magesa. Kwa Mungu kila jambo linawezekana.
Furaha uliyonayo naamini haipimiki. Hongera sana.
 
Zama hizi za DNA na maendeleo yote haya bado wazo la kwanza linakua ni uhalifu..lakini binadamu ndio tupo hivyo. Sio kila mtu atafurahia mafanikio yako. Ndio maana kuna baadhi ya mambo inabidi yawe siri hadi yanapokamilika.
Kweli, sio kila mtu anamtakia mema mwenzake.
 
Hongera Happy jamani wakati wa Mungu ni wakati mubasharah

IRON LADY!!!!
 
Back
Top Bottom