jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Alikuwa anajificha mtamuona muhongo kavaa liplastic!Kama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
Hapana ndugu,amepandikizwa mbeguEndometriosis si ndio huyu? Kumbe alikuwa anakutana na tubamia hatufiki kuleeee kuunganisha, kapata mkuyenge kakunwa kakojolewa zikatuama shaaa. Next time take care
Hapana,alikuwa injected mbeguHe si alisema HAWEZI kuzaa isijekuwa ndio yule mtoto wa yule mama wawatu aliyeibiwa mapacha wake kesi ikazimwa wizarani,achunguzwe haraka huyo mtoto
Alikuwa anajificha mtamuona muhongo kavaa liplastic!
Maana kapata mtoto wengi wao wanaanza kupopoa mawe,eti achunguzwe labda kaiba[emoji15] [emoji15]
Mtu ambae hajawahi zaa na watu wanajua kuwa hajazaa apate mimba akae kimya?
Miezi 9. Hivi unadhani mimba ni sawa na mswaki kuwa unaweza uficha mfukoni?
View attachment 547194 punguza negativity...she had a misscarriage a year back..so she wasnt so sure if she will sustain to 9months thats why she was quite ..
love thé love or hâte thé love.....
Kuna mama humu jf alikuja na uzi akasema ameambiwa kwamba hatoweza kuzaa kabisa..ila baadae akapata mimba na akazaa.Mbona mimi sijabisha?
Kwanini sasa alitangazia watu kuwa hataweza zaa afu kazaa, huoni aliwakatisha tamaa watu wenye hilo tatizo?
Kweli, sio kila mtu anamtakia mema mwenzake.Zama hizi za DNA na maendeleo yote haya bado wazo la kwanza linakua ni uhalifu..lakini binadamu ndio tupo hivyo. Sio kila mtu atafurahia mafanikio yako. Ndio maana kuna baadhi ya mambo inabidi yawe siri hadi yanapokamilika.