Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

Nakubaliana nawe mkuu alafu samahani ni Mkuru na si mkura najua ni typing error tu lakin nilikua najaribu tu kumpa mawazo tofauti kama ulivochangia mwenzangu yeye ndo mwenye pesa mwsho wa ciku mwamzi mkuu ni yeye lakn akhasante tupo pamoja

samahani mkuu
ni mawazo mazuri ila hilo la kilimo cha kitunguu ni bora zaidi cha muhimu ni kufanya utafiti wa masoko hasa nchi za jirani
ahsante Sana Mkuu!!
 
samahani mkuu
ni mawazo mazuri ila hilo la kilimo cha kitunguu ni bora zaidi cha muhimu ni kufanya utafiti wa masoko hasa nchi za jirani
ahsante Sana Mkuu!!

Mkuru na Majigo nawashukuru sana kwa michango yenu, naomba mkimpata mawazo mengine mapya msisite ku share. nahisi sipo pekee yangu naetafuta idea za biashara.
 
Kiongozi, kila kitu nilichotaka kukwambia ushaambiwa.
ukishindwa yote, jaribu kusoma alama zanyakati... i mean, 2015 hii hapa..jaribu kuwekeza kwenye uheshimiwa..!!
 
Jaribu kuangalia pia uwezekano wa kufungua duka la nafaka za vyakula mbali mbali kaa vile mchele n.k. ambavyo unaagiza au unavifuata Dubai. Nimewahi kusikia hii nayo ina faida kubwa sana ila sina details.

nafaka afuate dubai wakati kilombero, kyela, songea, ifakala kote kuna nafaka kibao, pia million 5 kwenda dubai na mtaji hapo hapo sina uhakika kama itatosha.
 
Kiongozi, kila kitu nilichotaka kukwambia ushaambiwa.
ukishindwa yote, jaribu kusoma alama zanyakati... i mean, 2015 hii hapa..jaribu kuwekeza kwenye uheshimiwa..!!

hahaha..sawa mkuu, japo niukwae uwenyekiti wa serikali ya mtaa. Tena ile pesa ya muhuri sichelewi kurudisha mtaji mwaka mmoja tu.
 
Wajameni nina 5M ninataka izunguke ilinipate japo pesa ya kulipia mtoto ada bila kubangaiza.
Msaada wenu wa mawazo nitauheshimu sana na kama nikifanikiwa na idea ya mtu baada ya miaka miwili au mitatu sitamsahau japo kwa zawadi ya shukurani.

Mwenzenu kwenye matatizo na raha.
Duhh,katika Post zote tangu nimejiunga Jamii forum sio siri hii imekaa kiaina yake.Nimeipenda Sana.
Ngoja nijipange na Ideas nije nazo ila mie sinto hitaji Zawadi ambazo tumezizoea,nahitaji Dua(Maombi yako) kwa kutoa shukran kwa Mungu kwa kufanikiwa.

Ila Pia mbali na mawazo yote ujue kwamba unapoafikiria kuwekeza basi anza kufikiria changamoto,wengi wenye pesa kama yako ya kuchungulia huwa waoga sana,unaweza kukuta hiyo 5m ikakuachia na ugonjwa wa wasiwasi au moyo na presha.Sasa anza kujiandaa kwa changamoto.
Na pia usiwekeza pesa yote 5m kwenye biashara,maana itakapo yumba utashindwa ku iboost,keep target ya 4m unless uwe ume target 5m na balance ya 1m as Back up.

Ngoja niishapata Ftari jioni nitatoa namie wazo langu.
 
Inategemea na sehemu ulipo:
(1)Binafsi ningekushauri ufungue duka la spare za pikipiki kwa mtaji huo almost utapata unit atleast kumi za vipuri mhimu kulingana na sehemu husika.
2) Jikite kwenye kilimo cha matikiti maji. Anza na ekari mbili kwa mtaji wa 2M. Ukitaka mchanganuo wa kilimo hiki nitakuelekeza hapahapa jukwaani.

Hili wazo zuri,weka kwenye list yako kabla ya mchujo
 
Nashukuru. Biashara za vyombo vya usafiri zimenishinda ndugu yangu, nilikuwa na pick up ilileta faida kwa muda baadaye madereva wakaanza kuleta pesa ndogo na hicho kiduchu nilichopata kiliishia garage. Wewe kwa experience yako unadhani Bajaj itakuwa tofauti?
Bajaj sasa hivi ni biashara ngum sana,wanalia watu na wengi wanatoka kwenye soko.Itakuwa kama kesi ya pick up yako.
 
Mchanganuo wa kilimo cha matikiti;
1)Kawaida ekari moja ina sqm4000
2)spacing ya matikiti ni m1.5shimo na m1.6 mstari. Acha mashina2 na matunda3 kila shina.
3)tumia mbegu ya hybrid aina ya sukariF1 ambapo kwa ekari moja itakugharimu Tshs260k
Tumia mbolea ya kinyesi cha kuku kama itapatikana kilahisi au nenda dukani kwajl ya mbolea ya kupandia na kuboresha matunda ambayo haitazidi tsh200k.
4) waterpump ya kichina horsepower5.5 3" inatosha kumwagilia eneo kubwa hata ekari5 na gharama yake(complete) haizidi tsh800k.
5)gharama ya kulima +viuatilifu haizidi tsh400k.
6) bei ya kuuza shambani kwa tikiti moja la hybrid ni tsh1500 na inachukua siku60 kukomaa.
Ukishusha hesabu hapo juu utapata kifuatacho:
4000/(1.5*1.6)*2*3*1500= TSH 15,000,000/=
COST(TSH 1,660,000/=)
FAIDA= TSH14,600,000/=
Fanya umepata faida ya TSH 10,000,000/=
cc WILE xfactor Zanzibar spices BAK etc
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu Kisima,ubarikiwe sana.Kwa hiyo wewe huwa wanunuzi wanakuja shambani kwako?
 
Last edited by a moderator:
Umetafutaje hela wakati hujui cha kufanyia? Anyway, fuga kuku wa mayai itakutoa sana mjini ama anzisha nyama choma kijiwe!!
 
Mkuu xfactor wanunuzi wanakuja shamba mkuu kama utalihudumia shamba ipasavyo na kupata mavuno mazuri.
Mhimu:
Tafta soko kabla hujalima.
Epuka walanguzi hasa wale wa meza za sokoni, ukifanya nao biashara usiruhusu aje shamba. Kama atahitaji mzigo, mpelekee sample na sisitiza shehena anayohitaji na usizidishe. Hakikisha bei ni flat rate kabla ya delivery.
Usimamizi ndiyo kila kitu ili kuyafikia malengo yako.
Twendeni shamba, Hima sasa!!
 
Loud and clear mkuu.unalimia sehemu gani?
 
Last edited by a moderator:
Mie nalimia Turiani mkuu xfactor. Niko huku najitaftia kamtaji kaliko tuna, siku nikiibuka mjini nifanye yangu mazuri.
CC chuchu16 peri na wadau wote.
 
Last edited by a moderator:
Huko maji ya kutosha,kuna mto mkubwa tu.Safi sana aiseee,endelea kutupa nondo ili tukiingia tuwe vizuri

Kisima
 
Last edited by a moderator:
Mkuu xfactor,
Mito ipo mingi tu. Cha mhimu ni target ya soko na roho ya uthubutu. Mwenzenu nilirudisha vyeti kijiji kwa Mama nikaukana utumwa japo haikuwa jambo dogo kushawishi wazazi. Ila penye nia pana njia na sio jambo dogo kuacha kazi na kuamua kufanya yako tena maporini!
 
Duh! Kweli umethubutu aisee,Mungu akusimamie sana.Nitakutafuta unipe strategy ya kuanza kupata soko,kwasasa acha nile nondo huku najipanga
 
Last edited by a moderator:
Mkuu xfactor,
Mito ipo mingi tu. Cha mhimu ni target ya soko na roho ya uthubutu. Mwenzenu nilirudisha vyeti kijiji kwa Mama nikaukana utumwa japo haikuwa jambo dogo kushawishi wazazi. Ila penye nia pana njia na sio jambo dogo kuacha kazi na kuamua kufanya yako tena maporini!

hayo ndio maamuzi magumu
 
Mchanganuo wa kilimo cha matikiti;
1)Kawaida ekari moja ina sqm4000
2)spacing ya matikiti ni m1.5shimo na m1.6 mstari. Acha mashina2 na matunda3 kila shina.
3)tumia mbegu ya hybrid aina ya sukariF1 ambapo kwa ekari moja itakugharimu Tshs260k
Tumia mbolea ya kinyesi cha kuku kama itapatikana kilahisi au nenda dukani kwajl ya mbolea ya kupandia na kuboresha matunda ambayo haitazidi tsh200k.
4) waterpump ya kichina horsepower5.5 3" inatosha kumwagilia eneo kubwa hata ekari5 na gharama yake(complete) haizidi tsh800k.
5)gharama ya kulima +viuatilifu haizidi tsh400k.
6) bei ya kuuza shambani kwa tikiti moja la hybrid ni tsh1500 na inachukua siku60 kukomaa.
Ukishusha hesabu hapo juu utapata kifuatacho:
4000/(1.5*1.6)*2*3*1500= TSH 15,000,000/=
COST(TSH 1,660,000/=)
FAIDA= TSH14,600,000/=
Fanya umepata faida ya TSH 10,000,000/=
cc WILE xfactor Zanzibar spices BAK etc

Asante sana mkuu, inabidi nipitie vizuri huu mchanganuo na kujaribu shambani kwangu Mkuranga.
 
Last edited by a moderator:
Umetafutaje hela wakati hujui cha kufanyia? Anyway, fuga kuku wa mayai itakutoa sana mjini ama anzisha nyama choma kijiwe!!

Pesa nimepata kupitia kazi za kuajiriwa, kwasasa najaribu kuizalisha kupitia ujasirimali. Asante kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom