Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Kaka pasco hatukatai makonda anauthubutu lakini tunataka uthubutu utakaoendana Na sheria Na taratibu za nchi.
Mkuu mwanaone, huwezi amini, hii posti ndio naiona leo
Hapa nakuunga mkono, na jambo kama hili, hata mimi niliwahi kushauri
HAPA!
P
 
Mkuu mwanaone, huwezi amini, hii posti ndio naiona leo

Hapa nakuunga mkono, na jambo kama hili, hata mimi niliwahi kushauri
HAPA!
P
Sasa P jamaa ni insane na anahitaji matibabu. Inawezekana akatumia hiyo insanity yake kama kinga ya kutoshitakiwa kwani hayo yote aliyoyafanya hakuwa na akili timamu. Na akipelekwa kule Dodoma itabainika kweli jamaa ni insane. Kwa hali hiyo naungana na wale wote wanaodai kuwa wanaotaka uongozi wakapimwe akili zao kwanza ili kuepukana na matatizo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…