Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,266
Kupambana hakuna anayekataa upambanaji. Ila hapo ukisifia jumla jumla ni sawa na kuhalalisha kughushi kuwa nao ni upambanaji? Kwa mantiki hiyo hata matapeli na majambazi wa kutumia silaha hata ikibidi kuua utawaita wapambanaji na kuwasifu maana wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanapata kile wanachotaka. Siko nawe katika shauri hili. Tuchochee upambanaji ulio halali tu, sio wa ulaghai.Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.