Kupambana hakuna anayekataa upambanaji. Ila hapo ukisifia jumla jumla ni sawa na kuhalalisha kughushi kuwa nao ni upambanaji? Kwa mantiki hiyo hata matapeli na majambazi wa kutumia silaha hata ikibidi kuua utawaita wapambanaji na kuwasifu maana wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanapata kile wanachotaka. Siko nawe katika shauri hili. Tuchochee upambanaji ulio halali tu, sio wa ulaghai.Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.
Kupambana hakuna anayekataa. Ila hapo ukisifia jumla jumla ni sawa na kuhalalisha kughushi kuwa nao ni upambanaji? Kwa mantiki hiyo hata matapeli na majambazi wa kutumia silaha hata ikibidi kuua utawaita wapambanaji na kuwasifu maana wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanapata kile wanachotaka. Siko nawe katika shauri hili. Tuchochee upambanaji ulio halali tu, sio wa ulaghai.Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.
Sasa kma ni mpambanaji si angesoma kwa bidii angefaulu yaani mpambanaji gani anakubali kufeli tu maisha yake yote yaani tokea darasa la kwanza mpaka bachelors ni kufeli tu afu unamuita mpambanaji...... na jta degreee si tuliskia ametoka na GPA below 2.7 dah ndo mpambanaji huyu????Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.
Kwa lipi hasa la maana alilofanya adi sisi wa huku kigoma ujiji tumlilie atuongoze??namuomba Rais amteue Makonda awe MKUU wa Wakuu wote wa mikoa nchini na sisi tulioko nje ya Dar tunufaike na utendaji wake uliotukuka
Hivi shuleni hamfundishwi kuhusu nyakati? Kweli elimu ni janga kubwaUnapo Zunguamzia miaka ya Nyuma unanaanisha kuanzia mwaka gani labda?
Word[emoji115] [emoji115] [emoji115]wapambanaji wa hivi tupo wengi tu, mkuu. ila tunazingatia sheria. hatufoji!
Sawa ila ngoja kwanza tumalizie kiporo chetuGwajima ni askafu au popobawa? Hana SIFA za kuitwa askofu maana mwenendo wake sivyo, vinginevyo anatumia miziziology kujipa uaskofu.
Siyo taratibu mkuu hii tayari inapolomokea mabondeniNaona taratiiibu serikali ya awamu ya 5 inapuyanga
Hizo sifa naona ni zakwako..., au haujui [HASHTAG]#ZERO[/HASHTAG] nayo ni IV kinachotofautisha ni point tuh.....Baadhi ya sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
-Kuwa na busara.
-Weka hakiba ya Maneno.
-Usiwe mropokaji.
-Usiumie madhabahu kwa mambo binafsi.