rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Hakiba[emoji808]Baadhi ya sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
-Kuwa na busara.
-Weka hakiba ya Maneno.
-Usiwe mropokaji.
-Usiumie madhabahu kwa mambo binafsi.
Hahahaa, kwa mujibu wa mtoa mada basi wauza unga nao ni wapambanaji, mbali ya kukosa mali kwa njia halali wame hustle hadi wamefanikiwa.Kwahiyo kutumia njia ya mkato Na kudanganya Ndio upambanaji basi kesho njoo Na uzi mwengine ukiwasifia wauza unga ni wapambanaji.
Kwa mktadha wako, wauza unga nao ni wapambanaji, kwa sababu mbali ya kukosa mali kwa njia halali na kupata misukosuko mikubwa zaidi hata ya Bashite huwa wanapambana hadi wanafanikiwa.Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.
Mleta mada hii naye mzee wa foooooUnafundisha vijana wafoji vyeti kwa mgongo wa upambanaji?
wewe kufoji unaweza? kubebwa unaweza kumhadaa nani akakubeba?Kaweza nni??? Nielimishe??? Kafika hapo kwa kufoji vyeti na kubebwa na sitta au kuna jingine
Tena katika interview nzima hawakumuita Paulo walikazana na makonda tu..hadi mwishoni mzee aliposema baada ya makonda kuoa... amekuwa na watoto wawili ambao ni neema(mke wa makonda)akawa anafiria kumtaja jina la makonda ndio zama anamwambia na Paulo...hapo na yeye ndo akataja Paulo...Sasa nimeelewa kwa nini wazazi wake walikuwa wakijiumauma walipokuwa wakiulizwa kuhusu suala la elimu ya mtoto wao
LAZIMA UWE NA PLAN B...MANMaisha ya kufoji foji na kuunga unga mbona rahisi sana na kila mtu anaweza akiamua..
Issue ni kutumia akili kufanya vizuri darasani na kunyooka mpaka chuo kikuu na si kuunga unga.
Misukosuko ya ukilaza bana.... asingekuwa kilaza nani angemsukasuka?Suala sio kufoji vyeti lakini angalia jinsi elimu yake ilivyokuwa na misukosuko.