antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee..Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test
Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia.
Siku ya 13 hongera kwa juhudi ya kuongeza idadi ya watanzania. Jiandae kulea dume hiloHabari zenu?
Nimevurugwa
Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
Kweli niambie jamani I'm seriousSiku ya 13 hongera kwa juhudi ya kuongeza idadi ya watanzania. Jiandae kulea dume hilo
Wewe si mwanamke, ni shoga wanaojifanya kupitia wanayopitia wanawake ikiwemo kupata hedhi bandia.Habari zenu?
Nimevurugwa
Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
Ndio hivyo sweetheart, umefanya mapenzi ukiwa ndani ya siku za hatari. So jiandae kisaikolojia😊Kweli niambie jamani I'm serious
Mamdogo Amehlo njoo ujibu swali hili..!!Habari zenu?
Nimevurugwa
Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au aimo?
MhNdio hivyo sweetheart, umefanya mapenzi ukiwa ndani ya siku za hatari. So jiandae kisaikolojia😊
😳kama mzunguko wake uko sawa hausogei sogei na kizazi kiko vizuri 😂😂😂na mbegu za bwanashemeji ziko vizuri basi aseme tu baby shower atafanyia wapi
AsanteHongera wenzio wamelia Kwa miaka mingi wakitafuta mimba
Uko sahihiMimba SI ugonjwa
aloo halafu kuna pimbi hawataki kuheshimu akili ya mzungu. umenifungua sikua najuaNyie ndiyo mnatuangusha! Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test
Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia.
Pole ndugu! Siku hizi kuna Vipimo vyote vya uasherati utavipata na kabla hujamdonoa na kunyanduana utapima hata malaria, hepatitis zote, HIV zote, syphilis, typhoid gono, ovulation etc kabla hujailoweka unajua unaloweka wapi. Naye anategemea kupokea nini. Ukikuta mambo si mambo, unavaa condom bila shuruti kwa raha zakeAisee..
It's news to me!
Ndo kwanza nasikia kama kuna hivi vipimo pharmacy
Ulianza kuziona damu zako za mwezi hiyo tareh 26 au 26 hiyo ndipo ulimaliza ili tukuambie na jinsia kabisa?Habari zenu?
Nimevurugwa
Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
Haha..Pole ndugu! Siku hizi kuna Vipimo vyote vya uasherati utavipata na kabla hujamdonoa na kunyanduana utapima hata malaria, hepatitis zote, HIV zote, syphilis, typhoid gono, ovulation etc kabla hujailoweka unajua unaloweka wapi. Naye anategemea kupokea nini. Ukikuta mambo si mambo, unavaa condom bila shuruti kwa raha zake
Ni dume?Maajabu mwanaume kushika ujauzito