Mimba imenasa?

Mimba imenasa?

Wakati mwingine huwa tunaangalia faida ya dakika 5 bila kufanya tathmini ya athari za miaka 20 ijayo.

Wanaume tusikubali kuongozwa na kichwa cha Chini, maana Kuna Wanawake hutegea mimba kinyemela. Kuliko kumpa mimba isiyopangwa bora uvae Kondomu
 
Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu 😄
Huyu bila shaka atakuwa mmoja wao🤗

Nakumbuka miaka fulani ya nyuma niliwahi kukutana na Binti aliyenifanyia hivyo, isingekuwa kutumia Uzoefu wa Umri, haki ya nani ningekuwa na Mtoto wa Uzeeni saivi😜
 
Back
Top Bottom