Mimba imenasa?

Mimba imenasa?

Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
Tuliza wenge wewe hakuna kitu hapo, sikilizia na huu mwezi uishe kama hutochinja basi tutakupa hela ya matumizi uanze kazi🤣
 
Ukicheza na koki tegemea kulowa...

5 + 7 = 12 siku uliyochezea koki nankuloweshwa
Siku ya 13, IMO!. Umeanua kutufanya pregnancy test!
Sawa bhana
12 + 7 = 19 siku ya leo unayoweweseka JF

Hata ukipima hutaona kitu
😳
Lengo lako ulitaka tujue kama ume**mbwa wiki iliyopita huna lolote, umeambiwa humu ndani wanapima mimba? punguza uzinzi..
Haya asante

Sawa asante sanaa
Lengo lako ulitaka tujue kama ume**mbwa wiki iliyopita huna lolote, umeambiwa humu ndani wanapima mimba? punguza uzinzi..
Asante sana
 
Habari zenu?

Nimevurugwa

Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
Unataka iwemo isiwemo?
Soma hii:
 
Back
Top Bottom