Mimba imenasa?

πŸ“Œβœ…
Wakati mwingine huwa tunaangalia faida ya dakika 5 bila kufanya tathmini ya athari za miaka 20 ijayo.

Wanaume tusikubali kuongozwa na kichwa cha Chini, maana Kuna Wanawake hutegea mimba kinyemela. Kuliko kumpa mimba isiyopangwa bora uvae Kondomu
 
Wewe utakuwa ndiye unayepiga roba ya miguu kama mzee mwenzangu Grahams alivyoandika hapo juu πŸ˜„
Huyu bila shaka atakuwa mmoja waoπŸ€—

Nakumbuka miaka fulani ya nyuma niliwahi kukutana na Binti aliyenifanyia hivyo, isingekuwa kutumia Uzoefu wa Umri, haki ya nani ningekuwa na Mtoto wa Uzeeni saivi😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…