Masahihisho mwanake=mwanamkeMtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.
khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
Huyo unaye mwita ni docta?Mange Kimambi njoo huku
Mchawi Fulani hivi amazing kinoma.Huyo unaye mwita ni docta?
Sasa anahusianaje na hii post?Mchawi Fulani hivi amazing kinoma.
Nasikia mchawi ukimsema hadharani analegeza ndumba
Wee huoni kuwa kuna mazingira ya kimazingara hapo?Sasa anahusianaje na hii post?
Mwenye 23 - 25 ni nani sasaMtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.
khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
Hapo jiongeze..Mwenye 23 - 25 ni nani sasa
13yrs na 23-25yrs anaitwaje??Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.
khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
UmeniwahiMwenye 23 - 25 ni nani sasa
Hujatoa jibu badoHapo jiongeze..
Usiwe mzembemzembe...utafuniwe kila kitu.