mimba ipo ila hakuna kiumbe ndani!

mimba ipo ila hakuna kiumbe ndani!

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
Habari zenu ndugu zangu!

Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!

Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia vipimo ikiwemo ultrasound! kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa daktari alisema mimba ipo lakini ndani hakuna kitu chochote kwahiyo inabidi kesho niende nikasafishwe!

Jamani naombeni msaada wenu mwenye ujuzi na hili anipe mawazo!

Ushauri wenu utanisaidia...! Hii hali imekaaje?

Natanguliza shukrani.
 
Kuna mengi ya kukuuliza, naamini dr kafanya kazi yake, hapo inabidi usafishwe vizuri halafu ukae zaidi ya miezi 6 kabla ya kubeba mimba nyingine.
 
Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.

khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
sawa nmekuelewa
 
Usiogope dada ni kitu cha kawaida sana na ipo kibiologia zaidi. Wakati ulikutana na mwenza wako mbegu zake hazikuweza kufertilize za kwako kwa kuwa zako hazikupevuka vizuri. Kwa hiyo kilichopo hapo ni empty sac na baada ya kusafishwa itabidi upumzike baada ya mwezi 6 ndo uweze kutafuta mimba tena. Pole sana ila usiogope.
 
Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.

khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
Masahihisho mwanake=mwanamke
 
Pole Sana Dada .. hii ishamtokea Wifi yako.. Inaitwa Ambryonic Pregnancy yaani Fertilization imetokea But Embryo Haipo Kwa Sababu ya Kuwa na Kasoro Kidogo katika Yai lako. Na Mara Nyingi inakuwa ni mambo ya Genetic tu..

But Usihofu Huwa Inatokea na Wewe si Mtu wa Kwanza Bt You can Still Have Healthy Baby in Future.. Nenda Tu wakusafishe basi
 
Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.

khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
Mwenye 23 - 25 ni nani sasa
 
Pole, ila kama una miaka 30 wewe sio msichana ki hiiivyoo! jiite tu Mwanamke
 
Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.

khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
13yrs na 23-25yrs anaitwaje??
 
Back
Top Bottom