korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,004
- 666
Habari zenu ndugu zangu!
Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!
Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia vipimo ikiwemo ultrasound! kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa daktari alisema mimba ipo lakini ndani hakuna kitu chochote kwahiyo inabidi kesho niende nikasafishwe!
Jamani naombeni msaada wenu mwenye ujuzi na hili anipe mawazo!
Ushauri wenu utanisaidia...! Hii hali imekaaje?
Natanguliza shukrani.