Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

Mtoa mada wewe ndo tatizo Kwa sababu zifuatazo.
1. Commiting unprotected sex . Kufanya mapenzi bila kutumia Kinga Ili hali unajua kwamba chochote chaweza kutokea including mimba and alike.
2. Uzembe wako. Kumwamini mwanamke kupita kiasi utaanzaje kutuma hela bila kujiridhisha.
Uko fact mkuu nilimuamini mapema sana ndo tatizo
 
Baada ya kupewa tunda Tena kwa siku kadhaa Hali Ile ikajirudia Tena kwa kipindi icho tulikuwa mbali mikoa tofauti ikabidi aende mwenyewe kucheki afya sikujua kilicho endelea nilipewa tu taarifa ana mimba ya wiki 2 ikabidi kidume nipambanane mama kijacho awe safe nilituma Sana hela kipindi kile kwa ajili ya matumizi na maandalizi mengine ikapita Kama miezi 6 nikarudi jiji aliokuwepo nilimkuta yupo kawaida ikanitia mashaka baada ya kumuuliza akasema mimba bado ni changa tumbo haliwezi kuonekana.
Kufupisha story baada ka kumpeleleza Sana hakuwa na mimba Wala kitambi ilikuwa mbinu ya kunipiga hela kwa hasira nilichakata mbususu mfululizo afu nikamuacha.
555450_394961837265217_1420578498_n_394961837265217.jpg

Siku nyingine akikuambia ana mimba mwambie akukimbize
 
Mimba ya wiki mbili kaijuaje sasa? Hata test wanaambiwa wakafanye angalau wiki tatu baada ya game.

Ukiendelea na huo mchezo wa kupiga kavu, utapata unachokitafuta.
Wanaume wanaopigwa pesa kisa mimba wengi wao hawajui kitu kuhusu mimba.

Mimi baada ya attempt kadhaa za kunipiga kwa kigezo cha mimba nikapata akili ya kujifunza kidogo.

Na pia wanawake wengi pia hawajui pia mambo ya mimba, sasa akikukuta na wewe ni mbulula basi anakudanganya kiboya tu.
Siku 3 anasema ana mimba, na lijamaa linatuma pesa sijui ya kutoa, sijui ya matunzo ..
 
Yalishanikuta miye ,nikaamua kumpiga utasa mpaka leo hii hana mtoto.
 
Sio vizuri unaona unatania saivi ila baadae ndio mtu anakuja tafuta mke na hapati Kisa kachezea wote aliopewa na bwana
 
Bora huyo wenzio wanalazimishwa na ndoa kabisa
 
Yalishanikuta miye ,nikaamua kumpiga utasa mpaka leo hii hana mtoto.

Mhurumie,
Msamehe,
Mfungue ili azae.

Ili uponye vizazi vyako (wanao na wajukuu na vilembwe).

Sivyo watoto wako watapata shida kubwa sana.
 
Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata...

Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana mpaka tukabadilishana namba za simu.

Tukafahamiana zaidi mpaka kujikuta tunanzisha mahusiano miezi miwili ya mwanzo nilihustle kidume vijizawadi na hela ya matumizi ili nimuweke karibu nilifanikiwa kwa Hilo.
Baada ya mwezi 1 kupita nikapewa tunda kwa Mara ya kwanza nilipeleka Moto ipasavyo ili nifidie gharama zangu zote.
Ikapita Kama wiki siku moja mchumba mtoto wa Arusha akaanza kulalamika tumbo linazingua anajisikia homa na kichefuchefu ikabid nimpeleka clinic kuchek afya bahati nzuri ilikuwa sio mimba Kama tulivyowaza ni homa tu akapewa treatment na dawa za kutumia kwa siku kadhaa akawa fine.

Baada ya kupewa tunda Tena kwa siku kadhaa Hali Ile ikajirudia Tena kwa kipindi icho tulikuwa mbali mikoa tofauti ikabidi aende mwenyewe kucheki afya sikujua kilicho endelea nilipewa tu taarifa ana mimba ya wiki 2 ikabidi kidume nipambanane mama kijacho awe safe nilituma Sana hela kipindi kile kwa ajili ya matumizi na maandalizi mengine ikapita Kama miezi 6 nikarudi jiji aliokuwepo nilimkuta yupo kawaida ikanitia mashaka baada ya kumuuliza akasema mimba bado ni changa tumbo haliwezi kuonekana.
Kufupisha story baada ka kumpeleleza Sana hakuwa na mimba Wala kitambi ilikuwa mbinu ya kunipiga hela kwa hasira nilichakata mbususu mfululizo afu nikamuacha.

Wanaume wabinti wa Sasa baadhi yao ni matapeli wakikwambia ana mimba jiridhishe kwanza halafu utoe hela ya kutunza mimba hasa wakikuona uwezo wa kulea mimba unao
Mbakutana na viburudisho vya wote.
 
Back
Top Bottom