Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

Labda mtoto alikaa vibaya (breech), au placenta ilijiachia kabla ya wakati (Abruptio placenta) au kulikuwa na low lying ya placenta karibu na cervix (Placenta previa),maana ki kawaida placenta inabidi ijishikize kwenye fundus.
Yawezekana mkuu ndio mana sababu ya yote hayo
 
Mfano ukaambiwa Ina madhara utamshauri aitoe ama? Huo ushauri alitakiwa aombe kabla hajabeba huo ujauzito.

Issue za mimba na kujifungua salama Huwa ni mipango ya Mungu tu mshauri aanze clinic mapema hayo mengine nature will take it's place.
Nilikuwa nawaza atoe mkuu ndio mana nikasema nililete hapa kwa wataalamu ili nipate ushauri juu ya ili suala mana hii wiki sikuwa na amani kabisa yani mawazo mengi sana mkuu acha tu
 
Napenda sana mtu anajibu kwa scinero kama hivi mkuu..

Ila kuna watu hapa wataleta mambo ya chat gpt mwanzo mwisho afi nashangaa hawa ni madaktari au matatizo
 
Nenda hospital mapema mama aanze clinic mimba haitatolewa ila atakuwa salama chini ya wataalamu
 
Acha kuogopesha watu mkuu bna wape moyo kwan research zinasema ni wangapi wanapata placenta previa kati ya wanawake 1000 waliofanyiwa c/s
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daktar wa chat gpt πŸ™Œ
Yaani unakuta mtu anaamua tuu..
Wakati kuna ishu zinahitaji experience sio mambo ya kutupangia paragraph hapa kizembe.

Huko alipo kajiona mwamba kumbe hamna kitu pale.

Hatulatazi kutumia chat gpt ila je unatumia wewe kama nani...

Una utalamu wa afya alafu unachukua kitu kama kilivyo huko ndo nini sasa

Hii ishu ya chat gpt inaumbua sana watu soma comment za juu utaona Hance Mtanashati alivyo mwelekeza.
 
Unaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway aache kujiona mzembe kwa kumtundika mke mimba nyingine mambo ya kawaida hayo , Namshauri mke wake awahi tu Antenatal clinic huko atapata majibu yote ya maswali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…