Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Ngosha kwani Vipi nani unamzungumzia Ng'ombe au binadamu?Acha kushauri upumbavu, mara zote hizo alizoshindwa kujifungua salama huyo mungu mmoja hakuwepo walikuwa ni mungu wawili au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngosha kwani Vipi nani unamzungumzia Ng'ombe au binadamu?Acha kushauri upumbavu, mara zote hizo alizoshindwa kujifungua salama huyo mungu mmoja hakuwepo walikuwa ni mungu wawili au?
Hahahaa, pole.Ngosha kwani Vipi nani unamzungumzia Ng'ombe au binadamu?
Yawezekana mkuu ndio mana sababu ya yote hayoLabda mtoto alikaa vibaya (breech), au placenta ilijiachia kabla ya wakati (Abruptio placenta) au kulikuwa na low lying ya placenta karibu na cervix (Placenta previa),maana ki kawaida placenta inabidi ijishikize kwenye fundus.
Nilikuwa nawaza atoe mkuu ndio mana nikasema nililete hapa kwa wataalamu ili nipate ushauri juu ya ili suala mana hii wiki sikuwa na amani kabisa yani mawazo mengi sana mkuu acha tuMfano ukaambiwa Ina madhara utamshauri aitoe ama? Huo ushauri alitakiwa aombe kabla hajabeba huo ujauzito.
Issue za mimba na kujifungua salama Huwa ni mipango ya Mungu tu mshauri aanze clinic mapema hayo mengine nature will take it's place.
Napenda sana mtu anajibu kwa scinero kama hivi mkuu..Siyo lazima lakini inakuwa vizuri mimi mke wangu alipata scenario kama yako. Mimba ya kwanza hakuwa na shida ila mtoto hakugeuka wakati wa kujifungua ikabidi afanyawe upasuaji. Sasa alipopata mimba ya pili akaenda kwa daktari mwingine kwa vile alikuwa mkoa mwingine. Daktari akamwambia hana shida ila angekuwa yeye ndiye amemfanyia upasuaji wa kwanza angemwacha ajifungue kawaida. Ila kwa vile siyo yeye hawezi kushauri kwa kuwa hajui yule aliyemfanyia alimshona kwa namna gani. Kwa sababu kama hakumshona vizuri kuna risk ya mshono kuachia wakati wa kusukuma mtoto na hiyo inakuwa risk kwa mama na mtoto. Hivyo dokta akatuacha tuamue kama ajifunge kawaida au kwa upasuaji. Sisi baada ya kufanya tathmini tukachagua upasuaji. Na mimba mbili zilizofuata tulienda kwa daktari yuleyule yuko mhimbili na hatujawahi kupata changamoto yoyote. Ahsante
Yaaah umeona eeeh hili nimeliona hadi mm...Huu mwandiko wa Chat Gpt 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda hospital mapema mama aanze clinic mimba haitatolewa ila atakuwa salama chini ya wataalamuWakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme bahati mbaya amepata mimba nyingine.
Swali langu kwenu vipi kama akihamua kujifungua je kuna madhara ya kiafya atapata ambayo yatagharimu uhai wake? Au atoe tu huu ujauzito?
Naomba ushauri wenu najua hapa kuna madaktari mbalimbali wenge kujua mambo ya afya.
Karibuni kwa mchango.
Acha kuogopesha watu mkuu bna wape moyo kwan research zinasema ni wangapi wanapata placenta previa kati ya wanawake 1000 waliofanyiwa c/szipo hatari nyingi tu za Upasuaji wa Mara kwa Mara (Cesarean Sections) ni vyema kujiandaa nalolote.
- Kushikamana kwa Tishu (Adhesions): Upasuaji wa mara kwa mara unaweza kusababisha tishu kushikamana, hali ambayo inaweza kufanya upasuaji wa baadaye kuwa mgumu zaidi na kuongeza hatari za kiafya.
- Uwekaji wa Plasenta Mbaya (Placenta Previa, Placenta Accreta): Hatari ya matatizo haya inaongezeka baada ya upasuaji wa mara kwa mara. Hii inaweza kuathiri sana ujauzito na kujifungua.
- Uvimbe wa Kovu (Uterine Scar): Kovu la upasuaji linaweza kuwa na hatari ya kupasuka (uterine rupture) katika ujauzito unaofuata kabla au mda wa kujifungua, hali ambayo ni hatari sana kwa mama na mtoto.
Huyo dr uchwara..Acha kuogopesha watu mkuu bna wape moyo kwan research zinasema ni wangapi wanapata placenta previa kati ya wanawake 1000 waliofanyiwa c/s
😂😂😂 Daktar wa chat gpt 🙌Huyo dr uchwara..
Kila kitu anatia kwenye chat gpt
Kwan huyo mama hajui kama kuna njia za uzazi wa mpangoMwanamke akijifungua kwa op anatakiwa akae miaka 3 bila kushika ujauzito
Mwaka 1 duh mshono utaachia, nyie wanaume waoneen huruma wake zenu
Yaani unakuta mtu anaamua tuu..😂😂😂 Daktar wa chat gpt 🙌
AiseeNilikuwa nawaza atoe mkuu ndio mana nikasema nililete hapa kwa wataalamu ili nipate ushauri juu ya ili suala mana hii wiki sikuwa na amani kabisa yani mawazo mengi sana mkuu acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaomba ushauri lakini unaigopa kusema mke wangu, unajaficha ficha eti huyu mama loh.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo dr uchwara..
Kila kitu anatia kwenye chat gpt
Aanze kwenye mwezi wa tatu (wiki ya 12) akichelewa sana mwezi wa nne.Sawa mkuu, ni mwezi gani ambao ni vizuri akaanza kwenda kuanza clinic??