amayabhu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 497
- 709
Inakuwaje, anaenda kutafuta au anapotezea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu si bora hata wewe mimi jirani yangu anaamshwa saa nane usiku akatafute maembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje, anaenda kutafuta au anapotezea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu si bora hata wewe mimi jirani yangu anaamshwa saa nane usiku akatafute maembe.
Sio ndoa...mimba shekh wanguNikioa ntakuja na mimi kuleta yangu.... Enewei pole sana ndio ndoa hizo.
Kinachomsumbua bro sio ndoa yake...ni mimba ya mkeweaisee unaweza kata rufaa ya ndoa
Hahahaaaaa balaaa hilooMkuu si bora hata wewe mimi jirani yangu anaamshwa saa nane usiku akatafute maembe.
Ndizi zipoo[emoji6]mkuu vipi sasa uko nani anatanua njia?
Lazima uendeeeInakuwaje, anaenda kutafuta au anapotezea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kwa hiyo mkuu hapa umenishauri kisayansi?asante sanaPiga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka
Astagafulilah mwenyz Mungu na aniepushie mwanaume kama ww[emoji57]Piga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka
Hawa mademu nadhani pia huwa wanakutana na wanaume wapole sana. Kuna wanaume akisema hivyo anapewa na hela saa hiyohiyo.Hahah wanawake hawa mi kuna jamaa angu aliniomba ushauri kuwa mkewe anamwamsha usiku anataka kitimoto mdudu,, sasa kwa kiburi akigoma demu anasema umeshidwa kulea mimba? kama nakuchosha naenda kutoa,ili nisikusumbue basi anakua mpole!!! Mvumilie tu lako hilo.
Vumilia tu ila ucmruhusu kusafir tena kama amekaribia kujifungua, hakuna mwanamke anaependa hali hiz za usumbuf kwa wame zao zitokee wakt wa ujauzto ila amin nakwambia hua zinakuja automatically na zinatesa sana asikwambie mtu, wanawake tunashida sana na ukutaka umwonee huruma zaid mkeo jaribu kuangalia youtube jns wanavyozaa kwa shida, yaan hutokuja kuona kama anakusumbua akiwa mjamzto hata cku 1 sanasana utakua unamuhurumia tuuWakuu habari za mida hii,kama mtiakumbuka kuna wakati nilileta lalmiko kuhusu huyu wife kuninyima papuchi wakati mimba ikiwa changa,sasa bora hilo,sa ivi ananisimbua sana,kwanza hataki kukaa na mimi karibu,na kwa vile muda wa kujifungua umekaribia aliniambia anataka akajifungulie kwao nikaunguza nauli mpaka kwao,
Juzi kanipigia simu hataki anataka kurudi tena sio kwangu bali nimpeleke home kwetu akajifungulie kwa mama mkwe,na hali ilivyo jamani haya si majaribu?huko alikokua ilikua kila sec simu mara naumwa mgongo, mara kiuno huku analia kabisa yaani utadhani dunia hii yeye ndio wa kwanza kupata ujauzito, nimeshafanya utaratibu aje tu,jamani wake zenu wako kama huyu?
Na nyie wanawake hebu nishaurini jamani,hali hii itanifanya akijifungua tu namfunga na kizazi potelea mbali mtoto awe mmoja tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah umeniacha hoi sana mkuu.Piga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka