Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

We unasema tu! Sikia mimi kipindi nna ujauzito hizo mushkeli zote alikuwa nazo Mr.wangu yeye ndio alinichukia mimi yeye ndio alitema mate yeye ndio aliumwa mgongo! Yaan yeye ndio alikuwa kama amebeba mimba! Mimi aka nadunda tu nakula kila kitu ila baada ya miezi mi4 hivi akarudi kawaida!
Nimeitamani hii asee

Sent from mTalk
 
Yaani mimi ndio najua leo kuwa mwenye id hii ni mwanamume......

Akili yangu yote ilikuwa inaniambia kuwa huyu ni mwanamke tena mrembo kweli kweli.....

Samahani ndugu.....
Bora nimeona neno "samahani"hapo mwisho,mkuu mods wananifanyia kusudi nishaomba sana warekebishe hili ilikua nas-mapesa na sio ilivyo sasa,nahisi wanajaribu kunizibia rizk yangu mana kuna ka duu ka jf naona kanakuja kasi sana,btw nimekusamehe boss
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
sio peke yako mkuu ata mimi nilikuwa najua nasmapesa ni mwanamke mrembo kumbe ni mwanaume aisee.
nasmapesa waambie mods warekebishe hiyo id yako
Hata wewe mkuu?natafuta tusi la kuwapa mods haiwezekani ishu ndogo tu ya kuweka jina langu fresh wanaona kazi,ila kupiga ban wako fasta
 
Hata wewe mkuu?natafuta tusi la kuwapa mods haiwezekani ishu ndogo tu ya kuweka jina langu fresh wanaona kazi,ila kupiga ban wako fasta
mods wanazingua sana mkuu,binafs nimewatumia PM 15 lakini hakuna hata PM iliyojibiwa...wanakera sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom