Dhurqaiyer
Senior Member
- Aug 2, 2016
- 104
- 42
Nimeitamani hii aseeWe unasema tu! Sikia mimi kipindi nna ujauzito hizo mushkeli zote alikuwa nazo Mr.wangu yeye ndio alinichukia mimi yeye ndio alitema mate yeye ndio aliumwa mgongo! Yaan yeye ndio alikuwa kama amebeba mimba! Mimi aka nadunda tu nakula kila kitu ila baada ya miezi mi4 hivi akarudi kawaida!
Sent from mTalk