Ha ha haaaaa!! kuna mwingine alikuwa hataki chips itoke sehemu tofauti na alipokwambia ukileta tofauti anaikataa kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Imebidi nicheke tuu,mimi nilikuwa natolewa Tabata Segerea kufuata Chips maeneo ya Mango-Kinondoni
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]una bahati sana mie nilikuwa naamshwa saa 9 za usiku akitaka ndizi na nyama choma na ukigoma analia sana, na ukileta ananusa tu wala hali
Umenipa nguvu kaka,ngoja nimvumilie tu,yaani miezi 9 tu maisha yanakua kama moviehahaaa kumbe tuko wengi, mkuu huko ndiko kunaitwa kulea mimba na hayo ndio matokeo ya ndoa, mimi nnakumbana nayo ila nshazoea na kuna muda muda na mmisi wife nikiwa kwa Job kwa hivyo vituko, ninayokutana nayo sasa
1. kuna siku utaambiwa ana hamu na nyama choma ukileta hali
2. kuna siku apika chakula yeye hali anakunywa uji
3. siku ukishinda nyumbani ndio balaa dakika mbili mbele kimenuka, kupishana ni sekunde tuu, na ukitaka kutoka kanuna, kuna saa unaambiwa mwanao acheza njoo umguse sasa nilivyo na bahati mbaya nikimgusa tu hachezi, hapo yataanza madongo, mtoto hakupendi, ole wako atoke na masikio kama yako ( mabaya )
4. unaweza ambiwa ana hamu ya mahindi ya kuchoma saa saba za usiku usishangae,
5. hulali, unaweza amshwa mara 8 usiku kumpeleka kukojoa,
6. vikicharuka mzungu wa nne anahusika
7. unaweza rudi ukakuta hamna msosi na ukaambiwa leo nna hamu ya chakula cha mama ntilie, na ukimletea anakula kweli..
8. chakula alichokipika yeye asema si kitamu.
9. kuna wakati anakuwa karibu hadi inaboa atashinda jirani na kwapa akunuseee weee asema harufu yako inamvutia na kweli hadi anapata usingizi hapohapo sasa ole wako umsogeze,
siku ingine baba ukirudi unakaguliwa mgegedeo kama haupo used.
akianza kuumwa nyonga sijui mtoto hiyo siku kachachamaa unaweza sema sasa hivi azaa ila ndo muda bado,
utaambiwa jina la mtoto atoa yeye wakati ni kumuomba mungu mtoto atoke salama na yeye ajifungue salama lakini mwenzie ana ka listi kake ka majina ashakaandaa zamani,
kuna wakati wanakuwa viceversa alichokuwa akipenda mwanzo ndicho akichukia, mfano mimi niliombwa niweke dish la Dstv, ila hadi hivi nnavyoandika hapa haangalii na matokeo ya ni seris za kikolea kwenda mbele na kisambuzi chenyewe katupia chini ya uvungu,
nyumba sasa hata ukikwangua vocha ukaisahau mezani utasemwa wewe kwa uchafu hadi utasikia hasira,, aagh kuna raha yake man, hasa ukiwa mbali nae unamkumbuka, japo ukirudi home dakika tano ni nyingi anazingua, ila ukizoea fresh tuu, na uzuri zaidi akusumbue kama hivi uwe huna mchepuko, ukiwa nao kipindi hichi ni kigumu sana kwake, atajua tuu, sababu nawe hutokubali utaona kama mateso ila kama huchepuki wallah kuna raha yake....kwa hiyo ndugu hiyo events ni nzuri na muombee ajifungue salama akiwa fresh utamkumbusha vituko vyake kipindi cha ujauzito, naamini ni mambo ya muda tuu hayo..kaka hapo bado hujaanza kilea, utanyooka wewe...ususahau kutuletea mrejesho na kipindi cha malezi, kila la kheri...
Watatuua hawaHa ha haaaaa!! kuna mwingine alikuwa hataki chips itoke sehemu tofauti na alipokwambia ukileta tofauti anaikataa kabisa.
Yaani nikiwa namzughusha sipati picha anavyotamani anikamate animezeMwambie poa ila usitume nauli. Akikuuliza unamzungusha hadi anajifungua.
Nimekupata kakavumilia kaka ni hali ya mimba tu yatakwisha soon
ndivyo walivo mie wangu alikuwa anataka muda wote tukae wote nikitoka tu anasema rudi ila mimba bana dah kimeo kweli wanawake huwa pasua kichwa kweli wakiwa wajawazitoWakuu habari za mida hii,kama mtiakumbuka kuna wakati nilileta lalmiko kuhusu huyu wife kuninyima papuchi wakati mimba ikiwa changa,sasa bora hilo,sa ivi ananisimbua sana,kwanza hataki kukaa na mimi karibu,na kwa vile muda wa kujifungua umekaribia aliniambia anataka akajifungulie kwao nikaunguza nauli mpaka kwao,
Juzi kanipigia simu hataki anataka kurudi tena sio kwangu bali nimpeleke home kwetu akajifungulie kwa mama mkwe,na hali ilivyo jamani haya si majaribu?huko alikokua ilikua kila sec simu mara naumwa mgongo, mara kiuno huku analia kabisa yaani utadhani dunia hii yeye ndio wa kwanza kupata ujauzito, nimeshafanya utaratibu aje tu,jamani wake zenu wako kama huyu?
Na nyie wanawake hebu nishaurini jamani,hali hii itanifanya akijifungua tu namfunga na kizazi potelea mbali mtoto awe mmoja tu.
Wakuu habari za mida hii,kama mtiakumbuka kuna wakati nilileta lalmiko kuhusu huyu wife kuninyima papuchi wakati mimba ikiwa changa,sasa bora hilo,sa ivi ananisimbua sana,kwanza hataki kukaa na mimi karibu,na kwa vile muda wa kujifungua umekaribia aliniambia anataka akajifungulie kwao nikaunguza nauli mpaka kwao,
Juzi kanipigia simu hataki anataka kurudi tena sio kwangu bali nimpeleke home kwetu akajifungulie kwa mama mkwe,na hali ilivyo jamani haya si majaribu?huko alikokua ilikua kila sec simu mara naumwa mgongo, mara kiuno huku analia kabisa yaani utadhani dunia hii yeye ndio wa kwanza kupata ujauzito, nimeshafanya utaratibu aje tu,jamani wake zenu wako kama huyu?
Na nyie wanawake hebu nishaurini jamani,hali hii itanifanya akijifungua tu namfunga na kizazi potelea mbali mtoto awe mmoja tu.
Ha ha haaaaa!! kuna mwingine alikuwa hataki chips itoke sehemu tofauti na alipokwambia ukileta tofauti anaikataa kabisa.
nimekupata vizuriMkuu, vumilia, maana ndo wamalizia sasa, jaribu kuongea naye kwa hekima kubali kuwa chini kwa muda huu. Usikubali kulinganisha mkeo na wake wa wengine maana swala la ujauzito na maswahibu yake si sawa kwa kila mwanamke na pia si kila mimba itampa shida hii unayoshuhudia sasa, huenda mimba zijazo ukashangaa kabisa akawa poa mno.
Swala la kufunga kizazi si sawa pia utamwuzdhi sana Mungu, nafikiri ukimwudhi Mungu matokeo yaweza kuwa mabaya zaidi, hebu fikiri huko utotoni wewe ulivyokuwa ukiwaudhi na kuwasumbua wazazi wako na wakuzungukao, wangesema wakuadhibu kwa kukutoa uhai au wafunge kizazi wasipate watoto kama wewe, je ungekuwepo leo, ungekuwa na kaka na dada zako au wadogo zako?
Na unafahamu Babako alimvumilia Mamako kwa kiwango kipi hadi ukatokea wewe pia? Vijana tumepotoka katika mitazamo na maana ya maisha, maisha si raha na starehe tu, hapana, yana maswahibu yake, ndo kama haya.
VUMILIA, VUMILIA NA UVUMILIE, LAKINI KUNA MABO UNAKUWA MKALI KIDOGO ILI YABAKIE YALE TU YANAYOAMBATANA NA MIMBA YALE YA KUKURUSHA ROHO YASIRUHUSIWE.
ikifikia huko mkuu naona mkono wangu ungehusika kuweka mambo sawa(makofi)huwezi niamsha saa 9 unataka ndizi choka kwani tupo club?
mungu niepushe na mwanaume wa aina hii loooh...!!Piga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka