Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Sijui hii hali inanipata Mimi peke yangu au hata watu wengine!!

Yaani nikiona Moss Plants (mimea midogo ya kijani) ambayo huota sehemu zenye maji maji huwa nakosa raha kabisa, na najiskia vibaya. Hali hii imenianza tangu niko shule ya msingi lakini hadi leo bado ninayo.

Yaani sehemu ikiwa na hizi Moss Plants naweza nisipite kabisa, ni bora nipite njia nyengine, siwezi hata kuziangalia au kuzipitia kwa karibu.
Sasa wiki iloyopita nimekuja Mbeya na kutokana na hali ya huku ya mvua nyingi, aise kila sehemu zipo... Dah napata shida kweli.
 
Kweli binadamu tumetofautiana, Mara nyingi huota kwenye mitaro ya maji machafu😔
Yeah,Hauna shida na mtu huo ujani.....pole sana.Nipo mbeya hapa,je unaweza pita Kwa home nikutibie? Somehow Yaan🧐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…