Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

[emoji3064][emoji28][emoji28][emoji125][emoji117][emoji817][emoji736]
ukiona hii post unajisikiaje?

kuna hospital inaitwa Milembe iko Dodoma, Fika hapo kwa msaada zaidi. .
 
Ni phobia kama wale wenye trypophobia dawa ni usiiangalie wala usiifatilie na uendelee kutumia njia zenye hazina...
Mimi nimesha sahau...
Maana kuna siku nlilalia dawa ya usingizi, nlijaribu kujitibu kwa exposure eti😂 sirudii
 
Yaa uoto n Tiba ila kama unajisikia ovyo una typ of sacatrik /ukichaa

Kappme tuu afya yako ya uchiz
Ukisoma zile psychological disorders zote, utagundua kila mtu lazma ataangukia kwenye moja wapo au zaidi kwaiyo inawezekana, nafahamu I have OCD pia, kwaiyo hata hii huenda ni disorder pia.
 
Ni phobia kama wale wenye trypophobia dawa ni usiiangalie wala usiifatilie na uendelee kutumia njia zenye hazina...
Mimi nimesha sahau...
Maana kuna siku nlilalia dawa ya usingizi, nlijaribu kujitibu kwa exposure eti😂 sirudii
Na wewe ulikuwa nayo hii disorder?
 
Nikianza kujenga nyumba yangu ntaiweka na gutter kabisa na chini ntaweka tiles ili zisitokee
Penye unyevu huwa havikosekani, hasa mikoa yenye baridi au mvua nyingi, vinakera kiukweli ila havinisisimui km nikiona dudu washa mama weeeeee😂😂😂hata siku iharibika kabisa naweza kuhisi nimezungukwa na madudu washa nakuwa kama mwendawazimu😅
 
Ngorongoro pale Makao kuna mimea flani hivi ya kuwasha.. ukigusa nayo tu yale majani kwisha habari yako. Yaani furaha yote inatoweka. Yaani kama umeunguzwa na moto. Huwa nikienda Ngorongoro nakuwa makini.
 
Back
Top Bottom